Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,671
hapana peter,Vp kwanieti aggyjay umeachika???
hapana peter,Vp kwanieti aggyjay umeachika???
Asante sweetyWewe wasema ila mi sijaitaja bado
Wabadili zote lakini isiwe castle milk...nitaandamana na wana mpaka TBLMkuu nasikia kuna slightly change inataka kufanyika kwenye Casstle! Hii habari kama ni kweli basi itakuwa imetuadhiri kwa kiwango kikubwa...mwenye taarifa kamili please!
{Taulo lililochakaa ni dekio jipya.}
Endelea kujifari wewe mwenyewe.Naona unamfariji mwenzako.
Mshana jr shindwa kaa mbali na jimena
mzima hofu kwako kipenziNambie sweet wangu, mzima lakini?
Nini tena.Mkuu nasikia kuna slightly change inataka kufanyika kwenye Casstle! Hii habari kama ni kweli basi itakuwa imetuadhiri kwa kiwango kikubwa...mwenye taarifa kamili please!
Patience223 manuu ndo kavunjaHapana shemeji yangu nilitangulia kwa kusema alichokiunganisha Manuu hakuna awezaye kukitenganisha isipokuwa Manuu mwenyewe wacha tuone mwisho wa huu mchezo shemeji yangu..
Hamna lolote.
Mwambie ukweli mammy.hapana peter,Vp kwani
Mtumishi haya maneno ni yako au ni pepo?Mshana jr shindwa kaa mbali na jimena
Onja uoneSasa huyo si mama mchungaji? Atakuwa anaogopa aibu
Niko salama kabisa mpenzi, unaendeleaje na kuumwa kwako?mzima hofu kwako kipenzi
Lakuvunda weweKwani bei gani!,usiponipenda wewe mkeo atanipenda.
una stress za kuachwa kwenye mataa wewe....Na kama ndo ulivo kusiliba vya wenzio utabaki hivohivo na kijiba cha roho na mkeo harudi!Namuogopa kwasababu ana sura mbaya kama popo.
hahaha huwa nawashangaa wanazipelekaga wapi na wanapata sh ngapi hapa mujini ukilala njaa umependa aiseeNanunua hera mbovu na dora! Biashara!
Jimena hivi vitundu vya nini?
Mtumish kwa hili wacha niendelee kuungana na shemeji yangu Patience123 ila kama akitoa kibali kwa roho safi ni sawa maana still naona kibarua pevu kwa JimenaJimena toto la wakati nami ni mtumishi wa wakati na viwango
Kaingiwa na pepo huyo.Mtumishi haya maneno ni yako au ni pepo?