Hahaha.Sasa kuweka decoration ya korosho kwenye kiporo haifanyi chakula kiwe cha leo![]()
![]()
![]()
![]()
Dona na mboga ngumu kama figiliVizuri ni vipi?
Sasa kuweka decoration ya korosho kwenye kiporo haifanyi chakula kiwe cha leo![]()
![]()
![]()
![]()

Na uwaambie hawa warembo humu waache kunishobokea nimewahiwa..

Aisee hii ya daladala naona kama wamekurupuka.
Mmmmh mbona we kiporo kilikuwa cha Pilau na sio Dona??Dona na mboga ngumu kama figili
Hapana shemeji yangu nilitangulia kwa kusema alichokiunganisha Manuu hakuna awezaye kukitenganisha isipokuwa Manuu mwenyewe wacha tuone mwisho wa huu mchezo shemeji yangu..Kuna mwingine naona wanaitana "my love" Naona manuu aliniingiza choo cha watoto,lazima ninyee poti mwaka huu.
Usinitishe kijana,mke mwenyewe umemrithi.![]()
![]()
Wakuwahiwa uje kuwa wewe!
Tumeanza kulewa sifa.Sijui shida ni nini hasa?
Mi pia naona ajabu![]()
![]()
Wakuwahiwa uje kuwa wewe!
Ile ni speshoMmmmh mbona we kiporo kilikuwa cha Pilau na sio Dona??
Alikuwa wa nani kabla? Braza mbona povu jingi hahaha...Usinitishe kijana,mke mwenyewe umemrithi.
Hata yangu ilikuwa speshoIle ni spesho
{Taulo lililochakaa ni dekio jipya.}Alikuwa wa nani kabla? Braza mbona povu jingi hahaha...
Sipendi kuzungumzia POLIFIXAisee hii ya daladala naona kama wamekurupuka.