Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Hamna noma jombaa.Powa powa, nawe unakaribishwa Arusha mkuu..
Hamna noma jombaa.Powa powa, nawe unakaribishwa Arusha mkuu..
Musolin5 achana na patience123
Aisee bro afadhali umerudi, shemeji alikuwa ananishawishi tufanye mambo ya ajabu sana.

ba mchungaji hatareee huyu..Kila abiria achunge mzigo wake hukuWe mchungaji ni mtu mbaya sana.
Ulijuaje sumbai amekimbia na Nahrene.
haya endelea kuisoma namba ..Hahaha mkuu sio kando natafuta mwenzi ili nisitamani kondoo, sio padre wala kasisi mim
Huyu kweli mchungaji Nzi.
mtarajiwa wako nani pastor?Aggyjay bora umekuja mmeo alianza kunilete giza kwa mtarajiwa wangu
Cc sizzya007Huyu kweli mchungaji Nzi.
Kiwelu wew ndo utaisoma namba, ukioa mkeo lazima aje kwangu kwa siri kutaka maombi na lazima niguse hata kama ni kichwani, na ke ndio wanaongoza kutaka maombi, wanaletaashtakaza bwana zao ooh hanifikishi hana nguvu meombee, nani aisoma namba sasa!haya endelea kuisoma namba ..
Hivi ataweza kweli kunena kwa lugha? Poor kondoo wakeAnaugua Mapenzi

Mimi niko mjini hapa.Poa mkuu pamoja sana, mimi niko Mo town hapa.
Nimeamua kumrudia mke wangu, huu mchepuko hauna maana kabisa.Njia kuu inakuhusu Braza.
The only couple ninayoielewa hapa KF ukiondoa ya kwanguNdo maana nilimchagua lizziebettie
Mwambie huyo.Nimeona Kila kitu. Acha kumsingizia mke wangu mambo yako ya ajabu. I trust my wife sana
Nimeanza kumwogopa youngblood anaweza kumnyemelea hata mke wangu aggyjay.Yani huyu youngblood hafai, laiti kama wifi lizziebettie isingekuwa na msimamo mbona ingekuwa hatari
Achana na mimi nimeamua kumrudia mke wangu.Sitaki ugomvi please Declare hii kitu mbele ya makapuku wote kabla sijajitosa mzima mzima kwako
Kwenye yaliyomo yamo hili nalo limo.Wageni mtoe na likes sasa maana siwaelewi
Shoka itaungua mpini utabaki.Mawe yataiva kuni zitabaki!
Mchungaji katika ubora wakeJimena ameanza lin uhudumu, alaf dogo acha mazoea, jana nimewaunga na aggyjay leo wale dharau kaa mbali na jina la jomena wewe
