Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mnajidhalilisha tu nyie makapuku
Nahisi hujapona ule ugonjwa wako! Uliona wapi mtu kujiita Kapuku amejidhalilisha, hautujui hata sisi hatukujui shida iko wapi. Usiongee kabla hujafikiria unachotaka kukiongea, kujiita kwetu Makapuku hakuondoi uhalisia wa maisha yetu. Boya wewe, sijui umeijia nini Makapuku forum. Umeshinikizwa na mtu kuja?
Pita huku ........
 
Mkuu nasikia kuna slightly change inataka kufanyika kwenye Casstle! Hii habari kama ni kweli basi itakuwa imetuadhiri kwa kiwango kikubwa...mwenye taarifa kamili please!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom