Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Mtumishi mpenda sifaJimena toto la wakati nami ni mtumishi wa wakati na viwango
Mtumishi mpenda sifaJimena toto la wakati nami ni mtumishi wa wakati na viwango
nimepona hney..NashukuruNiko salama kabisa mpenzi, unaendeleaje na kuumwa kwako?
Pepo c we ndo unayo auMtumishi haya maneno ni yako au ni pepo?
Sasa wakati nimeshakwambia kuwa hii id yako haiuzi bado hujakata tamaa tu????Mshana jr shindwa kaa mbali na jimena
Sijajua nini amekula Mtumish ndani ya siku tatu hizi maana najaribu kutafakari nashindwa na anafanya yote hadharan mbele ya mpenzi wake Patience123Mtumishi haya maneno ni yako au ni pepo?
Asante mpenzi kwa majibu mazuri.una stress za kuachwa kwenye mataa wewe....Na kama ndo ulivo kusiliba vya wenzio utabaki hivohivo na kijiba cha roho na mkeo harudi!
Yani kirahisi tu??????Onja uone
Jimena ndo mpango mzima kwa sasa japo anataka nibatizwe ipya ati aogopa jina langu, si aniite MAHABUBA yaishe?Mtumish kwa hili wacha niendelee kuungana na shemeji yangu Patience123 ila kama akitoa kibali kwa roho safi ni sawa maana still naona kibarua pevu kwa Jimena
Hii ndoa naitabiria maisha mafupi sana.Asante mpenzi kwa majibu mazuri.
youngblood ataji JJ mwaka huu.
Pole mpenzi, umepunguza kazi?nimepona hney..Nashukuru
ShindwaKaingiwa na pepo huyo.
Ndugu mshana nimegundua vichwa vingi vimelala huku 'Makapuku' I mean huku ndo kuna vichwa hasa so hakuna tena haja ya kuweka jam Google kila jibu tunalipata huku! Eti nasikia kuanzia mwaka ujao wa fedha ukienda guest dai risiti,ukiona jirani yako kafanya sherehe muulize kama amelipa V.A.T 18%? Ukimlipa baba mkwe mahari dai risiti!Wabadili zote lakini isiwe castle milk...nitaandamana na wana mpaka TBL
Wala hawezi kufanikiwa anajisumbua tu, labda aje na id nyingine ndo ajaribie kurusha nyavu ila hii ya jambilo inamhusu Patience123 tuMtumish kwa hili wacha niendelee kuungana na shemeji yangu Patience123 ila kama akitoa kibali kwa roho safi ni sawa maana still naona kibarua pevu kwa Jimena
Jimena nichagulieSasa wakati nimeshakwambia kuwa hii id yako haiuzi bado hujakata tamaa tu????
msimseme bure.Labda kala limbwata kwa jimena..Sijajua nini amekula Mtumish ndani ya siku tatu hizi maana najaribu kutafakari nashindwa na anafanya yote hadharan mbele ya mpenzi wake Patience123
Mtumish jambilo hakika kama mambo ni hivi inaonyesha Patience123 huko prayer room anasugua goti vya kutosha. .Akiona jibu kama hili yeye anabaki kusema ..Asante Yesu..Asante Yesu..Mtumishi mpenda sifa
Mi sio mpenzi wako, halafu we mchungaji wa nzi mbona unataka kunigombanisha na kipenzi cha moyo wangu jamaniJimena nichagulie
Mpenzi

Jimena nichagulie jina mpenziYani kirahisi tu??????