Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
Jimena nakurionyaSio kondoo ni nzi tu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Jimena nakurionyaSio kondoo ni nzi tu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ndio makupenda sana[emoji596]Hataweza.... Ximena ni anti uchawi
Nambie sweet wangu, mzima lakini?hi bby
Ndo kwanza tupo episode 1.Huyo ni everlenk mbona unalo mwaka huu, mi nacheki movie tu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] unajifunza Bangi???Naona jimena ameanza kukushobokea,mkazie unaweza ukaopoa goma.
Kaa mbali naye mkuualaaa kumbe
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] unajifunza Bangi???
Nani akushobokee hela huna, fan huna, sound hunaNa uwaambie hawa warembo humu waache kunishobokea nimewahiwa..
Ndiyo maana wizara ya afya wanasisitiza watoto lazima wanyonye maziwa ya mama kwa muda wa miaka miwili au zaidi.Mnajidhalilisha tu nyie makapuku
Hivi dini yetu inaruhusu talaka? Anyway nipo mtalaka wangu,anytime for you,si unajua mtalaka hatongozwiii?Mtalaka upo!
Wewe mwenye kila kitu,mbona mkeo amekukimbia?Nani akushobokee hela huna, fan huna, sound huna
Afadhali pilato umekuja uhukumu haya mambo.Naomba maelezo plz
Najua una zigo sasa ndo wataka wote wajue!Mchana mwema dears ngoja nile niongeze alichonirithisha mama nisije baki mifupa nikashindwa cha kuringia mjini.
Afu sitaki hata kumsikia...mchungaji full kula kondoo na vitoto vyake.Wewe mwenye kila kitu,mbona mkeo amekukimbia?
Mbona mimi nilikushobokea wewe ukiwa huna kitu?sadaka za waumini zimekupa kiburi umeniona sina thamani pesa mbili.Nani akushobokee hela huna, fan huna, sound huna
Huyu mchungaji ni wakuogopa kama ukoma.Afu sitaki hata kumsikia...mchungaji full kula kondoo na vitoto vyake.
Acha mawenge wewe, mtarajiwa ndo nani na wakati upo single. Usichonganishe wewe!Aggyjay bora umekuja mmeo alianza kunilete giza kwa mtarajiwa wangu
Asante mpenzi kwa kulijua hilo, nakupenda sweet.ba mchungaji hatareee huyu..Kila abiria achunge mzigo wake huku
Unamaanisha?Mawe yataiva kuni zitabaki!