Pole,pia ukiwaruhusu kuhesabu wanbeba hata wanne wanne na huoni,wakikulipa ukibaki kuhesabu huna kuku,ni bpra ukawa una wahamishia pengine ndio mhesabu idadi wanayohitaji,wanaviini macho sana,tuombee sana kazi za mikono yetu washindwe kuingia na nguvu zao