BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Kweli hali mbaya
Kweli hali mbaya
Mkuu mbeya ya wapi hiyo
hahahhh achana na hamu
Unapokea sms kutoka Kwa Mpenzi Wako Anakwambi Kuanzia Leo Mimi Na Wewe Basi
Unastuka Unamuuliza Kulikoni Anakujibu Samahani Sms Sio Yako
Asee Hapo Ndo
Utagundua Kwanini Hakuna Mmasai Albino![]()




Sio Songwe airport hapoMkuu mbeya ya wapi hiyo
Hapana sioSio Songwe airport hapo
thawa afandeUmepatia afande siku nyingine unaweza kuandika mndali
Sawa mkuuHakuna ugumu wowote, kama jeshi liko chino yake tena kwa msukuma mwenzake, Bunge halina meno ni kiasi cha kutoa order tu.
Wananchi hatuna maajabu ndugu yangu, akiamua hashindwi.
Njema za jumapiliZa jioni
hivi mtu akikukaribisha unakuwa mgeni ehh? 😀 😀Mi siyo mgeni, mambo mengi tu nashindwa kwendana na speed
Safi sana, sijui wewe?Njema za jumapili
Mbona waona aibu?
Hapa niliponaona wakuu wikendi mnstaka kuimaliza kimya kimya
tujuzane basi maeneo ya wapi mnaitumbua hii wikendi
Ca va?Safi sana, sijui wewe?