Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Namie ni hiyohiyoHadi dakika ya 90 Madrid washindi ndo inakuwa timu yangu
Namie ni hiyohiyoHadi dakika ya 90 Madrid washindi ndo inakuwa timu yangu
Watu wanataka ubingwa wa mezani na kuhurumiwa kwa maandamanoBongo hakuna ligi, ila ni ujanja ujanja tu
Hilo katazo sijaliona na inaonekana watu wameanza kupangiwa cha kupost basi watabaki peke yao maana maisha ni pamoja na mapenziWatu wanataka story za kuelemisha misha tuu mkuu..
Blaa blaa za malovee Nooo
Naona Leo anamtafutia mtu kadi nyekunduMess leo kawa mbogo
Nchi hii kila kitu ni shidaWatu wanataka ubingwa wa mezani na kuhurumiwa kwa maandamano
Mimi mtu kanifuta pm ,Hilo katazo sijaliona na inaonekana watu wameanza kupangiwa cha kupost basi watabaki peke yao maana maisha ni pamoja na mapenzi
Mkuu kweli hii ni hatari kama watu wamesha anza kupangia watu cha kupost na hii itaanza kutufanya tujikute tunazungumzia siasa ambayo inaleta chuki kuliko mapenziMimi mtu kanifuta pm ,
Kasema mapenzi peleka mmu..
Sizani kama ni kweliMkuu kweli hii ni hatari kama watu wamesha anza kupangia watu cha kupost na hii itaanza kutufanya tujikute tunazungumzia siasa ambayo inaleta chuki kuliko mapenzi
Mkuu inawezekana ikawa kweli au si kweli ila tusubili mda utatupa jibu sahihiSizani kama ni kweli
Ngoja tuoneMkuu inawezekana ikawa kweli au si kweli ila tusubili mda utatupa jibu sahihi
Poa mkuuNgoja tuone
Acha wogaMi hapo naangalia matokeo tu sina timu
Mimi mtu kanifuta pm ,
Kasema mapenzi peleka mmu..
Sizani kama ni kweli
Hamna kitu kama hichonami sijaliona hilo linalosemwa, na nitakuwa Tomaso hadi nione, isije kuwa tunajitanguliza wenyewe
Post mambo ya Gitaa tuu mkuu na educative issues...Mmmmh, kwa hiyo huku tupost nini sasa? Vita?
Mkuu naona mess kamalizia goli zuri sanaAcha woga
sauti za gitaa ukilisikiza utasikia elimu ( BB King)Post mambo ya Gitaa tuu mkuu na educative issues...
Karibu tusukume usiku..![]()
Mkuu naona mess kamalizia goli zuri sana