Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,930
Morning le engineerMorning papaa
Morning le engineerMorning papaa
.....kadafiBaadaye wakampindua kadafi na kumuua
Mpotezee.....Mapenzi yana run DuniaId ilikuwa mpya,..siijui mkuu..! Sio ya humu
Bad enough nilifuta pm yake kwa hasira..
TRUE .....thanksMkuu thread hadi imefikia hapa ilipo imepitia changamoto
Tuwe makini na "propaganda za CIA Wa Jf" la sivyo thread itakufa na hiyo itakuwa ndo furaha yao
.........
Mie niko poaMko poa humu nimewamis
Gumu kulitamka mkuu.....lina maana gani?Limekutisha mkuu? Au gumu kulitamka
Katika kufuatilia nimegundua washabiki wengi wa man u wanamchukia mess na washabiki wa arsenal wanamchukia cr7
Mbona Messi aliwafunga Arsenal goli nne na wanampenda???.....Ni kama wanachama wa li-pumba kwenye mkutano wa mzee wa sawasawa!!!Tuwaache na poropoganda zao

Af me nimekumith piaMko poa humu nimewamis
Humu ni ukapukuni.....kadafi![]()
utakuwa unatokea kilima kyaro
Haya mpeleke CongoAf me nimekumith pia
me ni shabiki wa Man United ila sijawahi kumchukia Messi, labda ile kiunazi ili nimpambe Ronaldo, hawa jamaa tuwaache tu wanaishi wenyewe katika dunia yaoKatika kufuatilia nimegundua washabiki wengi wa man u wanamchukia mess na washabiki wa arsenal wanamchukia cr7
ila mkuu kila kitu kina mwisho wake acha tuone tuBashite samtaimu anachekesha sana
Jamaa ni km Waziri asiye na wizara maalum
Madawa yeye
Filamu yeye
Kupokea wageni Airport yy
Uzinduzi wa miradi yy
Yaani full kiherehere
...
hatujambo vp kwema??Hamjambo hapa
Wivu umeanza lini???Haya mpeleke Congo
Hili nukuu si la kitoto yaan ni ukweli mtu ,![]()
![]()
![]()
Hiyo nukuu inatufundisha kupotezea mambo ya kipuuzi puuzi ili kuweza kutimiza malengo yetu ya maana ...ujumbe ungefaa umfikie Sizonje apunguze kupaniki
Sina wivu kabisaWivu umeanza lini???