Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hili nukuu si la kitoto yaan ni ukweli mtu ,
ukitaka mafanikio usitangaze vita na maadui maana muda mwingi utatumia kupambana badala ya kutafuta mafanikio
Sizonje hajui hilo utasikia anapaniki hadi anaropoka nonsence
*Msinipangie cha kufanya
*Dereva nzuri wa Lori
*Mnaosoma udaku kwenye mitandao endeleeni kusoma majungu
*Km hamtaki kuandika mazuri ya Bashite basi msiandike na mbaya yake n.k
5d4de599cb7c7ee9e8f0336f99207b95.jpg
197104be35985e7f7987c6f2c47860c5.jpg

......
 
Sizonje hajui hilo utasikia anapaniki hadi anaropoka nonsence
*Msinipangie cha kufanya
*Dereva nzuri wa Lori
*Mnaosoma udaku kwenye mitandao endeleeni kusoma majungu
*Km hamtaki kuandika mazuri ya Bashite basi msiandike na mbaya yake n.k
5d4de599cb7c7ee9e8f0336f99207b95.jpg
197104be35985e7f7987c6f2c47860c5.jpg

......
unajuwa uwongozi ni kipaji mola akuteuwe maana kungoza watu kunahitaji mkono wa mungu na bahati mbaya huyu mwenzetu hajajaliwa na ndo kosa walofanya na nahisi kuna watu humo humo wanajutia ,

Ujuwe hakuna kitu kibaya ukawa na adui ndani ,wakat unahangaika kupambana na adui wa nje unakuja kugundua kumbe huyu wa ndani ndo m'baya zaidi kulikoni yule wa nje na unapolikundua hilo kipindi hicho huna nguvu tena za kupambana na huyu wa ndani maana nguvu nyingi uliwekeza kwa adui wa nje ,

Ndicho kilicho tokea chama cha.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom