Makapuku Forum

Makapuku Forum

me ni shabiki wa Man United ila sijawahi kumchukia Messi, labda ile kiunazi ili nimpambe Ronaldo, hawa jamaa tuwaache tu wanaishi wenyewe katika dunia yao
Kaka, Ronaldinho, Ronaldo9, Zidane, Rivaldo na wengine kama Owen, Bergkamp, Klueviet, Okocha, Giggs, Cantona na wengine wengi tu waliishi ktk dunia moja

Unapomkubali Messi na kumkataa Ronaldo nitakuona wewe ni mshabika na sio mtu wa mpira

usijisifu una mbio msifiu na anaekukimbiza

don't take them for granted lol

we unamkubali nani kati yao Mndali??
Mkuu mi wote nawapa nafasi sawa maana wanafanya vitu ambavyo vinanifanya nianagalie mpira kwa raha zaidi maana kila mmoja ana vitu vya kuvutia na huwa ninapo pata nafasi ya kuwaangali wakiwa uwanjani ni burudani kwangu
 
Pole ila amini watu wengi huwa hawapendi wenzao wafurahi na ukiwapa nafasi utaumia naombq mwambie Sakayo a follow her heart please as long as wahusika wanakiri hakunz mtu aliyewakataza why worry,kama ingetokea kauli hii imetoka hapa sawa,msimhisi mtu msikilize mtu nitafurahi kama tutaendelea kuwa na amani na furaha kama mwanzo,matatizo huwa hayakimbiwi yanatatuliwa so kwa hapa lipo solved tuishi kwa amani na upendo I really miss Sakayo.
[HASHTAG]#BringBackOurSakayo[/HASHTAG]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom