Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Mkuu kwa Leo nimeangalia mechi vizuri Madrid walizidiwa kiungo maana barc walivunja winga moja wakaongeza katikati ndo maana Madrid walizidiwasimpendi huyu, hapa nishamtukana matusi yote, yanayoandikika na yanayotamkika