shululu mambo vipi? Nimekumiss
shululu mambo vipi? Nimekumiss
Wanaiba I seeIla madalali wezi sana, hajawahi kukuibia?
Maswali kawaida tu mkuusijashangaa nimecheka halaf unapenda maswali
Pole,pia ukiwaruhusu kuhesabu wanbeba hata wanne wanne na huoni,wakikulipa ukibaki kuhesabu huna kuku,ni bpra ukawa una wahamishia pengine ndio mhesabu idadi wanayohitaji,wanaviini macho sana,tuombee sana kazi za mikono yetu washindwe kuingia na nguvu zaoWalishawahi ilikuwa mwaka 2014 mwanzoni walikuja na gari wanataka kuku Idadi kubwa kisha wakadai pesa haitoshi hivyo tupunguze baadhi, hapo ndipo tulipotapeliwa ni kama kiini macho hivi
Hakika kabisa, ukiona vichwa Sita aliivyobeba, kumbe vipo kumi wewe hujuiPole,pia ukiwaruhusu kuhesabu wanbeba hata wanne wanne na huoni,wakikulipa ukibaki kuhesabu huna kuku,ni bpra ukawa una wahamishia pengine ndio mhesabu idadi wanayohitaji,wanaviini macho sana,tuombee sana kazi za mikono yetu washindwe kuingia na nguvu zao
Mukongo niajeHabari za hapa?
Njema mkuuHabari za hapa?
Mambo mengi yananifanya nipotee kabisaNsekwa upo, nipo mkuu
Poa Engineer, adje adjeMukongo niaje
Njema za jumapiliHabari za hapa?
Hahaha umesali leo?Unapokea sms kutoka Kwa Mpenzi Wako Anakwambi Kuanzia Leo Mimi Na Wewe Basi
Unastuka Unamuuliza Kulikoni Anakujibu Samahani Sms Sio Yako
Asee Hapo Ndo
Utagundua Kwanini Hakuna Mmasai Albino![]()