Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Mbaya sana hiiNdo hivyo mkuu watu wa hivyo inaweza ukawa nae sehemu mmelala ukija kuamka hayupo na anakwambia niko sehemu Fulani yaani mapepo yanapo taka awe ndo anakuwa hapo
Mbaya sana hiiNdo hivyo mkuu watu wa hivyo inaweza ukawa nae sehemu mmelala ukija kuamka hayupo na anakwambia niko sehemu Fulani yaani mapepo yanapo taka awe ndo anakuwa hapo
Hakika mkuuMkuu naogopa atatuharibia majina ya miji huyu
Hivi huko alizeti inalimwa?Asante kwa elimu hii mkuu huku soko hamna mpaka waje wa mjini ndo angalau inaweza kuona kuku wanaleta faida
Huna imani na mapankiNahamia.....huko kwetu North Korea sikuamini!
Anhaa hapo sawa mkuu nimekuelewaSawa mkuu inawezekana alikuwa mndali ila hakujua njia nzuri ya kupita anavyo enda kwao na ndo maana ilikuwa inamlazimu akazunguke mpemba
Mapaja tenaahsante,,, natamani kuchangia mada ila ipo katikati ya mapaja
Kweli mkuu na inawatesa sana watu wanao patwa na hiyo haliMbaya sana hii
Pamoja mkuuHakika mkuu
Inalimwa ila ni kidogo sanaHivi huko alizeti inalimwa?
Sawa mkuuAnhaa hapo sawa mkuu nimekuelewa
Hakuna ugumu wowote, kama jeshi liko chino yake tena kwa msukuma mwenzake, Bunge halina meno ni kiasi cha kutoa order tu.Lakini sio rahisi kivile coz ukitaka kufanya hivyo lazima ujifanye rafiki wa wananchi, wabunge, mahakama na wana jeshi sasa yeye hapendwr kutokana na miropoko yake na kubania maslahi ya baadhi yao
Atapata upinzani mkubwa
Hiyo ni rasimu ya katiba hivyo siyo katiba kamili ni km muswada ila bado haijawa sheria hadi process zikamilike ikiwemo kusainiwa na Rais
.......
Asante!asante mussolin kwa historia ubarikiwe sana
HahahaWa kudumu, wa maisha hawezi
jamboo mndali ndanyelakakomu samahan kama nitakuwa nimekosea jina aiseehJambo afande?
Umepatia afande siku nyingine unaweza kuandika mndalijamboo mndali ndanyelakakomu samahan kama nitakuwa nimekosea jina aiseeh
EtiMapaja tena
hahahhahUmepatia afande siku nyingine unaweza kuandika mndali
Mbona una shangaa?hahahhah
sijashangaa nimecheka halaf unapenda maswaliMbona una shangaa?
Mi siyo mgeni, mambo mengi tu nashindwa kwendana na speedkaribu