Makapuku Forum

Makapuku Forum

Pole,pia ukiwaruhusu kuhesabu wanbeba hata wanne wanne na huoni,wakikulipa ukibaki kuhesabu huna kuku,ni bpra ukawa una wahamishia pengine ndio mhesabu idadi wanayohitaji,wanaviini macho sana,tuombee sana kazi za mikono yetu washindwe kuingia na nguvu zao
Ni kweli mama mchungaji

Ila njia ipo rahisi ya kuwaweza
Mkiwa watatu tu kazi imekwisha hawaibi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom