Makapuku Forum

Ameen mama mchuchu [emoji120]
 
naiona kesho yangu iliyopangwa na Mungu [emoji120] barikiwa sana mama mchuchu
 
Poa basi tuchekiane inbox, tuone tunafanyaje.
Yaani itakuwa poa sana

Leo ktk historia
1804- majeshi ya kijerumani yaskung'utwa huko Lugalo

1857- Mtwa Wa Wabena aanzisha vuguvugu huko Makambako dhidi ya Chifu Mkwawa

1907-Wamisionari 50 wa Kiingereza wauawa huko Kilwa baada ya kushambuliwa kwa mishale

1969-Mwalimu JK Nyerere aweka jiwe la msingi wa sekondari ya Pugu

1975- Sunderland(Simba) yaichapa Vyura Fc goli 12 kwa sifuri Uwanja wa Karume uliopo Mzuzima Kipese na Kizota wang'ara

Yaani hapo hadi FaizerFix atakuja kuchangia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ila za kizungu muhimu tunaweka km kawa
......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…