Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahahaWivu sunnah ila ukizidi huwa unakuwa Fardhi na si sunnah tena Acha bwana kaka akapige kazi usawa wenyewe huu wa baba jesca sio wa mkwere
Ukufwe tu na wivu wako
Bae wangu keshaenda job
HahahaWivu sunnah ila ukizidi huwa unakuwa Fardhi na si sunnah tena Acha bwana kaka akapige kazi usawa wenyewe huu wa baba jesca sio wa mkwere
Mkuu uko poa?Pamoja Jux wa Shunie
Mungu ambariki kwakweli ni siku nyingi ,Mungu amtetee huko aliko.Shululu tunakumis ila matumaini yetu uko poa
I love you Tabasamu langu...
I love venye unacheka! Yaaani wewe mtoto ....mungu akuweke hai kwa kweli...
I love you my world...
Na ww upunguze ka wivu uwe unamuacha afanye kazi ,Hahaha
Ukufwe tu na wivu wako
Bae wangu keshaenda job
Umeamkeje sakayoHabari yako mlinzi
Asante kwa nukuu mkuu uwe na siku njemaNUKUU YA LEO
Smile in the mirror, do that every morning and you will start to see a big difference in your life
Tabasamu kwenye kioo, fanya hivi kila asubuhi na utaanza kuona tofauti kubwa maishani mwako
![]()
Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwanamziki,mwanamashairi, msaani na mwanaharakati wa kijapani Bi. Yono Oko aliezaliwa tar. Feb 18 1933
![]()
![]()
Yoko anafanga kazi nyingi za kisanii na kijamii, mojawapo ni ile harakati ya amani duniani "Bed in for peace" akiwa fungate na mmewe bw. John Lennon na "War is over" mwaka 1969.
Hili la kutabasamu kwenye kioo linaonekana kama jambo la kijinga na kituko ila ni ukijiangalia kwenye kioo lazima ujicheke.
Lakini kucheka kuna faida nyingi kama kupunguza msongo wa mawazo,pukunguza mkandamizo wa damu n.k
Binafsi mimi huwa nacheka kila siku asubuhi...
Its real, try it..
Transcend.
Kucheka...Wooow
Nukuu imetulia sana, nafikiri ndo maana nina afya njema maana kwangu mie ni kila asubuhi na jioni lazima nicheke na kioo....


Pamoja Jux wa Shunie
Kicheko kikiisha na wewe ondokaShukran mkuu kwa nasaha ntazifanyia kazi
Je ukitazama kiooo unatakiwa ucheke mwisho mara ngapi maana nisije zidisha dozi nikawa mental?
😀 😀 😀 😀Shukran mkuu kwa nasaha ntazifanyia kazi
Je ukitazama kiooo unatakiwa ucheke mwisho mara ngapi maana nisije zidisha dozi nikawa mental?
Umeamkaje mkuu unaendeleaje asante kwa taarifa na ratiba za michezo ubarikiwe sanaNa kwako pia kisheti
Ndaga mndu gwa kyala ukyala akutule ubhe ni siku inunuMwaghona?Mwalamusha,Mungu akubariki uwe na siku njema kamanda
Laugh as much as you can...!Shukran mkuu kwa nasaha ntazifanyia kazi
Je ukitazama kiooo unatakiwa ucheke mwisho mara ngapi maana nisije zidisha dozi nikawa mental?
sasa kama hakitakiisha ukajikuta nacheka utasema nimejiunga halichachiiKicheko kikiisha na wewe ondoka
Maana ninavyo kijua kioo waweza kaa hapo mpaka ukajisahau
inakuweje?
Kwa hiyo now ni self serviceUsawa huu wa baba jesca ubavu sina ulishachomoka ,
Shaka ondoaNa ww upunguze ka wivu uwe unamuacha afanye kazi ,
Baba jesca si wa kispot spot
Salama MndaliUmeamkeje sakayo
yah lazima ucheke .Laugh as much as you can...!
Unajua kuwa ujiangalia kwenye kioo lazima ucheke automatically...