Niko poa kiongozi sijui ww ?Mkuu uko poa?
Asante mume wanguI miss you my everything...
Morning mke wa ndoto zangu..
Nakutakia kazi njema na siku mubashara kabisaaa
Amina mamyAmen dear ubarikiwe uwe na siku njema yenye baraka![]()
Na kwako pia kishetiMorning wakuu muwe na siku njema aiseee
Niko poa kabisa mkuuNiko poa kiongozi sijui ww ?
Asante mkuuNUKUU YA LEO
Smile in the mirror, do that every morning and you will start to see a big difference in your life
Tabasamu kwenye kioo, fanya hivi kila asubuhi na utaanza kuona tofauti kubwa maishani mwako
![]()
Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwanamziki,mwanamashairi, msaani na mwanaharakati wa kijapani Bi. Yono Oko aliezaliwa tar. Feb 18 1933
![]()
![]()
Yoko anafanga kazi nyingi za kisanii na kijamii, mojawapo ni ile harakati ya amani duniani "Bed in for peace" akiwa fungate na mmewe bw. John Lennon na "War is over" mwaka 1969.
Hili la kutabasamu kwenye kioo linaonekana kama jambo la kijinga na kituko ila ni ukijiangalia kwenye kioo lazima ujicheke.
Lakini kucheka kuna faida nyingi kama kupunguza msongo wa mawazo,pukunguza mkandamizo wa damu n.k
Binafsi mimi huwa nacheka kila siku asubuhi...
Its real, try it..
Transcend.
Wivu sunnah ila ukizidi huwa unakuwa Fardhi na si sunnah tena Acha bwana kaka akapige kazi usawa wenyewe huu wa baba jesca sio wa mkwereAsante mume wangu
Raha yangu nikuone kila sekunde but no, kawajibikee laazizi wangu ili tutimize Malengo yetu...
T laazizi wangu, uwe na kazi njema hunie...
Nakupenda mpaka najionea wivu hubie
I love you Tabasamu langu...Asante mume wangu
Raha yangu nikuone kila sekunde but no, kawajibikee laazizi wangu ili tutimize Malengo yetu...
T laazizi wangu, uwe na kazi njema hunie...
Nakupenda mpaka najionea wivu hubie
Mshika noti kwema?Na kwako pia kisheti
Pamoja Jux wa ShunieAsante mkuu
Shukran mkuu kwa nasaha ntazifanyia kaziNUKUU YA LEO
Smile in the mirror, do that every morning and you will start to see a big difference in your life
Tabasamu kwenye kioo, fanya hivi kila asubuhi na utaanza kuona tofauti kubwa maishani mwako
![]()
Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwanamziki,mwanamashairi, msaani na mwanaharakati wa kijapani Bi. Yono Oko aliezaliwa tar. Feb 18 1933
![]()
![]()
Yoko anafanga kazi nyingi za kisanii na kijamii, mojawapo ni ile harakati ya amani duniani "Bed in for peace" akiwa fungate na mmewe bw. John Lennon na "War is over" mwaka 1969.
Hili la kutabasamu kwenye kioo linaonekana kama jambo la kijinga na kituko ila ni ukijiangalia kwenye kioo lazima ujicheke.
Lakini kucheka kuna faida nyingi kama kupunguza msongo wa mawazo,pukunguza mkandamizo wa damu n.k
Binafsi mimi huwa nacheka kila siku asubuhi...
Its real, try it..
Transcend.
Huku kwema mkuuKwema kiongoziii
WooowNUKUU YA LEO

Habari yako mlinziNa kwako pia kisheti
Mwaghona?Mwalamusha,Mungu akubariki uwe na siku njema kamandaHabari zenu makamanda
Usawa huu wa baba jesca ubavu sina ulishachomoka ,Niko poa kabisa mkuu
Vipi wa ubavu wako mzima ...??