Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kumbe tupo wengi tuliosalitiwa, hata mimi Sakayo leo kaniambia hanikumbuki kabisaa kisa kapata kipya nimenawa mkono kwa kweli nimelia kimya kimya yani nimemkuza kiimani, tumekua tukisali wote yaniii naomba kwaresima iendelee tu maana wasaliti wapo bado
Paroko pole sana maana unaonekana kilio chako kiko silent
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom