Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Tuko poaa le mushengaaaGoodmorning family.....hope mko kamili gado na mnaendelea vyema.....back to me nipo kama chuma cha pua niko na speed 120![]()
![]()
![]()
Tuko poaa le mushengaaaGoodmorning family.....hope mko kamili gado na mnaendelea vyema.....back to me nipo kama chuma cha pua niko na speed 120![]()
![]()
![]()
1958 - Stevie B anazaliwa.
Mtunzi na mwanamuziki kutoka nchini Marekani.
Ooh reallyLóooooking so mucuuuteee
Tupo verevereGoodmorning family.....hope mko kamili gado na mnaendelea vyema.....back to me nipo kama chuma cha pua niko na speed 120![]()
![]()
![]()
Umeshamaliza sala ya asubuhi?Kuwa tu rasta man
Tupo verevere

YeeeeaaaahOoh really
Ahsante Prof.Leo Katika Historia:
Sina la ziada muwe na Jumatano njema.
1978 - Gabriel Heinze amazaliwa.
Beki wa zamani wa Man Utd, Real Madrid na timu ya taifa ya Argentina.
Hahahaha wewe ni mutu wa kweli sana wewe ni mutu una true love kwa mama shunie, salimia familia sanaIko poa kabisa na jana ulivobariki kwa cheupe wanguu ...banasemaga hakuna matata
Sawa naona darasa la FaizaFoxy limekufanya kuwa makini katika uandishiKweko => kwako
Kama Kadinali Rugambwa alinyimwa sidhani kama kuna mtu mweusi atapewa kwa siku za karibuni.![]()
![]()
![]()
Sitaenda kanisani mpaka siku achaguliwe Papa mweusi
Kweli dini zimeletwa na meli ili kueneza tamaduni zao + kututawala
.....
Uje kwenye ibada usikoseKwakweli..
Yap mkuu.![]()
![]()
![]()
Akamuachia kitii mdogo wake Raul Castro au sio?
....
Pamoja kiongoziAhsante Prof.
Safi mkuu, ni jambo la kumshukuru Mungu kwa pumzi na afya njema, wapo wengi wapo vitandani kwa kuumwa ila Mungu amekupendelea basi hebu tumshukuru Mungu baba kwa kila jamboGoodmorning family.....hope mko kamili gado na mnaendelea vyema.....back to me nipo kama chuma cha pua niko na speed 120![]()
![]()
![]()
Sizonje hajaribiwi. Waulize Operesheni Ukuta![]()
Wangekuwa Bongo wangekung'utwa virungu km vile videnti vya juzi![]()
....
Karibu sana, umeuliziwa na mama mchungaji hope una maisha marefu leo umetusalimuWakuu habari yenu??!!?