Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yaani itakuwa poa sana

Leo ktk historia
1804- majeshi ya kijerumani yaskung'utwa huko Lugalo

1857- Mtwa Wa Wabena aanzisha vuguvugu huko Makambako dhidi ya Chifu Mkwawa

1907-Wamisionari 50 wa Kiingereza wauawa huko Kilwa baada ya kupigwa Maliki

1975- Sunderland(Simba) yaichapa Vyura Fc goli 12 kwa sifuri lakini Kizota ang'ara


Ila za kizungu muhimu tunaweka km kawa
......
Ahaaaaaaah itapendezaa kinomaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom