Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Umejua kunichekeshaaaNakupanda => Nakupenda
Umejua kunichekeshaaaNakupanda => Nakupenda
OmbiLeo Katika Historia:
Sina la ziada muwe na Jumatano njema.
Ila sitajali maana mababu zetu hawakuujua mlango wa kabisa wala msikiti lakini hawakuwa na matendo machafuKama Kadinali Rugambwa alinyimwa sidhani kama kuna mtu mweusi atapewa kwa siku za karibuni.
Mahakama za wazungu kwa ajili ya kuzingua tu WaafrikaCharles Taylor kwa kiasi kikubwa nae alichangia umwagaji damu huo.
Kwasasa yupo The hague.
Haina kwereAhsante kwa picha big brother
Bitoz
SalamaWakuu habari yenu??!!?
Nafurahi sana valentina, unakuja kwa ibada umependeza umewaka, naomba ukae siti za mbele kabisa.Baba paroko wanicheka
Tumetawaliwa hadi kifikraChuki na fitna zipo kila sehemu. Sema wengi wetu tunaona wazungu huwa hawakosei kumbe si kweli.
Umefikiria mbali sana mzeeTumetawaliwa hadi kifikra
Fikiria ushoga km ungeanzia Afrika basi leo hii tungekuwa tunaitwa washenzi n.k
........
Hahahahahah nione tu na mimi nakuona nakuonaNakuonaa nakuonaaa
Nzuri shemu Mungu anasaidiaSalama
Hali yako
Niko mikono salama baba parokoShemeji T wole wako dada angu uje mtenda, you will understand the power of my prayers in Jesus name
Baba Paroko usiwe na wasi wasi kabisaaShemeji T WOLE WAKO my sisy utakuja muumiza from there you will understand how powerful my prayers are
AminaNzuri shemu Mungu anasaidia
Siti za mbele mi nina aibu baba parokoNafurahi sana valentina, unakuja kwa ibada umependeza umewaka, naomba ukae siti za mbele kabisa.
Aksante sana... Barikiwa na wwAmina
Barikiwa
Wazo zuri. Yaani mashujaa na manabii wetu habari zao ni za kubabia babia tu. Tumeaminishwa kwamba hatukuwa na history kabla ya akina Karl Peters, Livingstone, Morton Stanley, Mungo Park na magenge yao kutia guu Afrika. Nitafuatilia kwa makini!Ombi
Naomba ujitahidi kadri ya uwezo wako uwe unatuletea na kumbukumbu za nyumbani
Najua ni ngumu kuzipata km ikiwezekana nitakushtua sehemu zinapoweza kupatikana
Shukrani mkuu
.....
Hahahahahah nione tu na mimi nakuona nakuona
Pia fikiria iwapo Waafrika tungekuwa weupe halafu wazungu weusiUmefikiria mbali sana mzee
Kuwa makini mkuu. Msije mkapandana laivu hapa hapa jukwaani!Nakupanda Sakayo