Makapuku Forum

Makapuku Forum

85a12d4fda7b07f76b2f68a14aee50cf.jpg
 
Tuombe:Mtakatifu Baba Mungu wetu ,tunajitakasa mbele zako siku hii ya leo tunaomba utusamehe makosa yetu yote tuliyotenda kwa mawazo ,kwa maneno, kwa matendo tunakushukuru Mungu wetu kwa kutufikisha leo wengine hawakuweza kufika siku ya leo achilia kiu ya kukutafuta wewe siku zote tutenge na anasa nguvu za giza marafiki wabaya tunawaombea vijana wasio na ajira waliokata tamaa,achilia tumaini,achilia mipenyo ya ustawi katika ndoa, mahusiano biashara,maofisi ,familia Tunawaombea wasafiri wafiwa wagonjwa,wafanyakazi ,watoto, wajawazito ,wazazi, wakimbizi,wafungwa na wengine wote wenye mahitaji yao binafsi Tunashukuru Bwana maana unajibu maombi yetu yote shetani hana nafasi tena katika jina la Yesu Damu ya Yesu itutakase Karibu Roho Mtakatifu Msaada wetu siku zote za maisha yetu Amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom