Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tuombe:Mtakatifu Baba Mungu wetu ,tunajitakasa mbele zako siku hii ya leo tunaomba utusamehe makosa yetu yote tuliyotenda kwa mawazo ,kwa maneno, kwa matendo tunakushukuru Mungu wetu kwa kutufikisha leo wengine hawakuweza kufika siku ya leo achilia kiu ya kukutafuta wewe siku zote tutenge na anasa nguvu za giza marafiki wabaya tunawaombea vijana wasio na ajira waliokata tamaa,achilia tumaini,achilia mipenyo ya ustawi katika ndoa, mahusiano biashara,maofisi ,familia Tunawaombea wasafiri wafiwa wagonjwa,wafanyakazi ,watoto, wajawazito ,wazazi, wakimbizi,wafungwa na wengine wote wenye mahitaji yao binafsi Tunashukuru Bwana maana unajibu maombi yetu yote shetani hana nafasi tena katika jina la Yesu Damu ya Yesu itutakase Karibu Roho Mtakatifu Msaada wetu siku zote za maisha yetu Amen
Ameeen
 
KESHO YANGU NI NZURI

YEREMIA 29:11

Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi asema BWANA,ni mawazo ya AMANI wala si mabaya ,kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.

Tukimtegemea Bwana katika Roho na kweli hakika kesho zetu zitakuwa zenye thamani sana mbele zake.
Usichoke ndugu Ebu kaza mwendo ,upate kufika mbinguni

Mungu wetu ni wa kila kitu.

Mungu atusaidie sana Tumpende ,Tumheshimu,Tumtegemee maana daima anatuwazia mema...mbarikiwe sana.
 
Amen
 
Tuombe:Mtakatifu Baba Mungu wetu ,tunajitakasa mbele zako siku hii ya leo tunaomba utusamehe makosa yetu yote tuliyotenda kwa mawazo ,kwa maneno, kwa matendo tunakushukuru Mungu wetu kwa kutufikisha leo wengine hawakuweza kufika siku ya leo achilia kiu ya kukutafuta wewe siku zote tutenge na anasa nguvu za giza marafiki wabaya tunawaombea vijana wasio na ajira waliokata tamaa,achilia tumaini,achilia mipenyo ya ustawi katika ndoa, mahusiano biashara,maofisi ,familia Tunawaombea wasafiri wafiwa wagonjwa,wafanyakazi ,watoto, wajawazito ,wazazi, wakimbizi,wafungwa na wengine wote wenye mahitaji yao binafsi Tunashukuru Bwana maana unajibu maombi yetu yote shetani hana nafasi tena katika jina la Yesu Damu ya Yesu itutakase Karibu Roho Mtakatifu Msaada wetu siku zote za maisha yetu Amen
Asante mtumishi
 
Amiiiinaaaaaa ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom