Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,670
- 50,987
I will make u feel comfortable karibu sanaSiti za mbele mi nina aibu baba paroko
I will make u feel comfortable karibu sanaSiti za mbele mi nina aibu baba paroko
Nitaishia kukutega baba paroko unisababishie dhambi bureI will make u feel comfortable karibu sana
Wewe Baba paroko yuko makiniNitaishia kukutega baba paroko unisababishie dhambi bure
Hilo suala tutalifanyia kazi likikamilika utaanza kuna mabadilikoWazo zuri. Yaani mashujaa na manabii wetu habari zao ni za kubabia babia tu. Tumeaminishwa kwamba hatukuwa na history kabla ya akina Karl Peters, Livingstone, Morton Stanley, Mungo Park na magenge yao kutia guu Afrika. Nitafuatilia kwa makini!
Oversimplification! Unaweza kuliangalia hili suala kifalsafa na/au kupitia lensi za matapo mbalimbali ya kinadharia - kisiasa, kiuchumi, kijamii n.k. Katika tapo la kiMarx, kwa mfano, tofauti za mifumo ya uzalishaji mali kati ya jamii za Ulaya na Afrika katika miaka ya 1800 ndiyo kisababishi kikubwa cha sisi kutawaliwa. Wenzetu wapo kwenye industrial revolution sisi bado tuko kwenye ujima. Kuanzia hapo kila jambo analolifanya mzungu kwa Mwafrika ukiangalia vizuri lina maslahi ya kiuchumi kwake. Na of course, ili kumtawala vizuri Mwafrika ilibidi kwanza kuharibu utamaduni na fikra zake. Na kuanzia hapo imekuwa downhill.Wazungu wametuzidi tu ujanja ndio maana wakaja kututawala badala ya sisi kwenda kuwatawala coz walitafiti wakagundua uwezo wetu mdogo wa kufikiri
......
Poa basi tuchekiane inbox, tuone tunafanyaje.Ombi
Naomba ujitahidi kadri ya uwezo wako uwe unatuletea na kumbukumbu za nyumbani
Najua ni ngumu kuzipata km ikiwezekana nitakushtua sehemu zinapoweza kupatikana
Shukrani mkuu
.....
Huyu nae anakula maisha chini ya kivuli cha Ufalme.![]()
/mobile-gallery/e9f68d72d6eadcb176c1d66d10c5a9c4.jpg[/IMG]![]()
Mzee wa vigori
....
Utawala wa Bush umeua watu wengi wasio na hatia Iraq na Afghanstan lakini hakuna anayemsema.Mahakama za wazungu kwa ajili ya kuzingua tu Waafrika
Waanze kwanza kuiburuza USA kwa upuuzi walioufanya huko Iraq
....
Point mkuuPia fikiria iwapo Waafrika tungekuwa weupe halafu wazungu weusi
*Tungeambiwa binadamu wa kwanza alikuwa nguruwe na hadi mafuvu tungeoneshwa
*Rangi nyeupe ni ishara ya huzuni, nyeusi amani
*Kuanzia Yesu hadi Adam wotewangechorwa weusi tii
Wazungu wametuzidi tu ujanja ndio maana wakaja kututawala badala ya sisi kwenda kuwatawala coz walitafiti wakagundua uwezo wetu mdogo wa kufikiri
......
Hii vita najaribu kuifananisha na ile Vita baridi ya miaka 1980's.
Sio mbaya baba mchungaji naruhusiwa kuoa, maybe karata yangu ikaangukia kwako ukawa mama mchungaji, nitege tu ila sio wakati wa ibada.Nitaishia kukutega baba paroko unisababishie dhambi bure
Anafaa lakini kuwa mama mchungaji si eti, valentina ni karembo kuwa basi mshenga ili upate baraka tele kumuwezesha mchungaji wako kupata jikoWewe Baba paroko yuko makini
Kwelii mkuuOmbi
Naomba ujitahidi kadri ya uwezo wako uwe unatuletea na kumbukumbu za nyumbani
Najua ni ngumu kuzipata km ikiwezekana nitakushtua sehemu zinapoweza kupatikana
Shukrani mkuu
.....
Mbele ya mtego wangu atakua dhaifu sanaWewe Baba paroko yuko makini
Baba paroko kwanza nashukuru kwa kuniamini na wathungu wanasema undugu kusaidiana ...yaani kama umefwatiliaa nilivomuona tu nkasema huyu mucuuuuteee katokeaa wapi ...anafaaa kabisa na inaonekana kakua kiroho ukichanganya na upako wako bwaaaanaaaabwaaanaaaah ...Anafaa lakini kuwa mama mchungaji si eti, valentina ni karembo kuwa basi mshenga ili upate baraka tele kumuwezesha mchungaji wako kupata jiko
Mucuuuutee yaaanii mtegee uwezavyo ...Baba paroko anasema akikuona tu utatu mtakatifu unakushukia weweMbele ya mtego wangu atakua dhaifu sana
Ukweli mtupuOversimplification! Unaweza kuliangalia hili suala kifalsafa na/au kupitia lensi za matapo mbalimbali ya kinadharia - kisiasa, kiuchumi, kijamii n.k. Katika tapo la kiMarx, kwa mfano, tofauti za mifumo ya uzalishaji mali kati ya jamii za Ulaya na Afrika katika miaka ya 1800 ndiyo kisababishi kikubwa cha sisi kutawaliwa. Wenzetu wapo kwenye industrial revolution sisi bado tuko kwenye ujima. Kuanzia hapo kila jambo analolifanya mzungu kwa Mwafrika ukiangalia vizuri lina maslahi ya kiuchumi kwake. Na of course, ili kumtawala vizuri Mwafrika ilibidi kwanza kuharibu utamaduni na fikra zake. Na kuanzia hapo imekuwa downhill.
Tungekuwa sawa kama tungeachwa tuvuke zile hatua za kimaendeleo (ujima>ukabaila>ubepari>ukomunisti) sisi wenyewe. Hapo ndipo tungeweza kuunda mifumo yetu ya kiutawala, kiuchumi, kisayansi, kifikra n.k. Sasa tulirushwa kutoka Ujima hadi mateka wa ubepari overnight. Tumevurugwaaaa!!!![]()
![]()