fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,030
Khaaa mm tena leo yaan umenivuruga ujueHongera kwa 168k
![]()
![]()
![]()
aende jlw fakalava kashamwabia sio mahala pakeShunie unamuona huyu jamaa karibia ataanza kuweka na vitu vile...
watekwe woteee wasimteke lee wangu nitakufwaaaaUdaku cont...![]()
![]()
Wakuu tuwe n.a. Siku njema ...kugufurika kama kawa
mekumiss ujue roho ya shunie unaendeleaje lknAsante mama mchuchu
Ameen mama mchuchuTuombe:Mtakatifu Baba Mungu wetu ,tunajitakasa mbele zako siku hii ya leo tunaomba utusamehe makosa yetu yote tuliyotenda kwa mawazo ,kwa maneno, kwa matendo tunakushukuru Mungu wetu kwa kutufikisha leo wengine hawakuweza kufika siku ya leo achilia kiu ya kukutafuta wewe siku zote tutenge na anasa nguvu za giza marafiki wabaya tunawaombea vijana wasio na ajira waliokata tamaa,achilia tumaini,achilia mipenyo ya ustawi katika ndoa, mahusiano biashara,maofisi ,familia Tunawaombea wasafiri wafiwa wagonjwa,wafanyakazi ,watoto, wajawazito ,wazazi, wakimbizi,wafungwa na wengine wote wenye mahitaji yao binafsi Tunashukuru Bwana maana unajibu maombi yetu yote shetani hana nafasi tena katika jina la Yesu Damu ya Yesu itutakase Karibu Roho Mtakatifu Msaada wetu siku zote za maisha yetu Amen![]()

Cheupe wangu nimekumithiiiiiiKhaaa mm tena leo yaan umenivuruga ujue
Dada akeeLee Asante kwa magazeti shem wangu
Ha haa naogopa kutia najisi wito wa baba paroko banaMucuuuutee yaaanii mtegee uwezavyo ...Baba paroko anasema akikuona tu utatu mtakatifu unakushukia wewe
Karibu sana mama paroko
naiona kesho yangu iliyopangwa na MunguKESHO YANGU NI NZURI
YEREMIA 29:11
Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi asema BWANA,ni mawazo ya AMANI wala si mabaya ,kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.
Tukimtegemea Bwana katika Roho na kweli hakika kesho zetu zitakuwa zenye thamani sana mbele zake.
Usichoke ndugu Ebu kaza mwendo ,upate kufika mbinguni
Mungu wetu ni wa kila kitu.
Mungu atusaidie sana Tumpende ,Tumheshimu,Tumtegemee maana daima anatuwazia mema...mbarikiwe sana.![]()
barikiwa sana mama mchuchuYaani itakuwa poa sanaPoa basi tuchekiane inbox, tuone tunafanyaje.
hahaha ndele tenaDogo unayo ndele ?.
Wataanzia wapiwatekwe woteee wasimteke lee wangu nitakufwaaaa
hivi kwa nn nakupenda hivi jamaanShululu tunakumis ila matumaini yetu uko poa
Niko poaa roho yangumekumiss ujue roho ya shunie unaendeleaje lkn
tehUsawa huu wa baba jesca ubavu sina ulishachomoka ,
Hapana wazee Wa kanisa washakubari ...mama paroko Baba p anakupendaa sanaHa haa naogopa kutia najisi wito wa baba paroko bana
ahhahahahhKwa hiyo now ni self service![]()
Iko mzuri hbr ya kwakoWakuu habari yenu??!!?