Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
uje na jlw unilinde vizuri nahisi ukiingia kule utakuja kunisemea kulivyokua na utani sanaKila sehemu nipo mmu,siasa,
uje na jlw unilinde vizuri nahisi ukiingia kule utakuja kunisemea kulivyokua na utani sanaKila sehemu nipo mmu,siasa,
T-bagWashiriki ni wale wale au
Dadii sante kwa magazeti hope umeamka salama, me namshkuru Mungu nipo poa kabisa kukumiss tuUdaku...![]()
![]()
![]()
![]()
mlinzi ninaeDaaah make nilistuka![]()
![]()
![]()
Neseme tena wakati ndo nimesema hivyo...Mkuu naomba labda uirudie kusema vzr uone kama hatutaitikia.
Asante mkuu..Leo Katika Historia:
Niwatakie wikend njema wote.
na sisi tunafurahi sana ukiwa happy Mungu azidi kukuweka tunakupenda sanaHahahaha nafurahia mnavyoelewana .
kazi ipoJana shunie kuna paali alimquote nakumuita baby
Lakin aliomba radhi na mambo yakaenda sawia mkuu
hivi ni kweli
baby n bahati mbayaEeeeeeh alimuitaa nani??
Je aliyeitwa ulimfanyiaa kazi ???
AiseeeeAlimwita rogie
Hapana sikudil nae nilitaka kujua je? Shunie kajichanganya au alikuwa seleous nikafanya investigation nikabaini hakuna kinachoendelea ....
Ni hayo tu mkuu
kwahiyo huyu mpk home anafikaNgoja niamini uniambiayoo .....
Kazi njema ukipata mda ufike home akuandalie ata juisii
Lengo umbane kila kona make wekend mcharuko sitaki![]()
huyu jamaa anatumika vibayaWimbo mpya wa Diamond BOLA NIKAE KIMYA tayr mtaani kwa hali inayoendelea tz![]()
AmeeenHabari ya asubuhi Kapuku's
Good morning Kapuku's
Bom dia Kapuku's
Bonjour Kapuku's
Shalom Kapuku's
Ni siku nyingine tena tumepewa na Muumba wa mbingu na nchi si kwa kuwa tumekuwa wema kwake Bali ni kwa rehema zake ili tuweze kumsifu na kumtukuza yeye.
Ewe Mungu baba ukakae nasi sote familia ya kapuku utupatie nguvu na uwezo wa kupambana na vikwazo vilivyo mbele yetu, tunakuomba baba ukawanyooshee mkono wako wa baraka wagonjwa wote waliopo mahospitalini na majumbani, pia ukalibariki taifa letu na dunia yote kwa ujumla.
Tunaomba hayo kwa njia ya mwanao mpendwa Yesu kristo Amen.
Mm nabadili now.Neseme tena wakati ndo nimesema hivyo...
all the best simba yanguRatiba ya VPL leo
![]()
Ratiba ya CAF CONFEDERATION CUP
![]()
Kila la kheri Dar Young Africans (Yanga)
baby kumbe na ww umeuonaUmekaa kinafikii
Hapo safi maana vichwa navyo vikubali vimo.T-bag
Sarah
Linc
Mtoto wa scofield
Scofiled /kaniel Outis
Fernando Sucre
C-Note
hahahhh umenichekeshaHahaaa Mzee mkavu $h ngap unalipwa?
Hatukukosea kukuita Jux kabisa.
Haya Bodyguard from Beijing endelea na kazi.
ww hapana utaongeza hata vya uongoHahaaa nipe namm hio kazi.