Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wimbo mpya wa Diamond BOLA NIKAE KIMYA tayr mtaani kwa hali inayoendelea tz
fa4fdfbb6007e0e4fd4f8eb58b2eeca7.jpg
 
Habari ya asubuhi Kapuku's
Good morning Kapuku's
Bom dia Kapuku's
Bonjour Kapuku's
Shalom Kapuku's

Ni siku nyingine tena tumepewa na Muumba wa mbingu na nchi si kwa kuwa tumekuwa wema kwake Bali ni kwa rehema zake ili tuweze kumsifu na kumtukuza yeye.

Ewe Mungu baba ukakae nasi sote familia ya kapuku utupatie nguvu na uwezo wa kupambana na vikwazo vilivyo mbele yetu, tunakuomba baba ukawanyooshee mkono wako wa baraka wagonjwa wote waliopo mahospitalini na majumbani, pia ukalibariki taifa letu na dunia yote kwa ujumla.
Tunaomba hayo kwa njia ya mwanao mpendwa Yesu kristo Amen.
 
Ahsante mkuu lee kwa magazeti mubashara na unbelievable facts

Baadae tutaangazia baadhi ya habari kwa mapana yake.

Kwanza tukapate kujua ratiba za leo tarehe 8/4/2017 michezo ni mingi tukianzia hapa nyumbani mpaka ulaya karibuni sana
 
Habari ya asubuhi Kapuku's
Good morning Kapuku's
Bom dia Kapuku's
Bonjour Kapuku's
Shalom Kapuku's

Ni siku nyingine tena tumepewa na Muumba wa mbingu na nchi si kwa kuwa tumekuwa wema kwake Bali ni kwa rehema zake ili tuweze kumsifu na kumtukuza yeye.

Ewe Mungu baba ukakae nasi sote familia ya kapuku utupatie nguvu na uwezo wa kupambana na vikwazo vilivyo mbele yetu, tunakuomba baba ukawanyooshee mkono wako wa baraka wagonjwa wote waliopo mahospitalini na majumbani, pia ukalibariki taifa letu na dunia yote kwa ujumla.
Tunaomba hayo kwa njia ya mwanao mpendwa Yesu kristo Amen.
Ameeeeeeeeeniiiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom