Makapuku Forum

Makapuku Forum

0e10910e3556d2101e9a4d118ca016e5.jpg
Movie mpya ipo sokoni itafuteni
Good morning all
.....
Morning mjanja wa joto siti Bitoz

Hili movie ni la kibabe sana
 
1992 - Mchezaji bora wa zamani wa Tennis kutoka nchini Marekani, Arthur Ashe anajitangaza kuwa ni muathirika wa ugonjwa wa UKIMWI.

Anatajwa kama mmoja wa wacheza Tennis kuwahi kutokea.

Ashe anakuja kufariki mwaka mmoja baadae yaani mwaka 1993.

Baada ya kifo chake, Rais wa Marekani wa Kipindi hiko Bill Clinton anampa tuzo ya heshima ya kitoka kwa Rais. ( President Medal of Freedom ).
78040455fa9e48c1f425f0a86c0ae724.jpg
3bbebeb05256ad35b6b538d9192f6602.jpg
ec57d5aa48bfa9799f8bd275144a1e52.jpg
fe99b2a8318d4e197beb9f0b45037f9a.jpg
ARV hazikuwepo hivyo kujificha ilikuwa sio kitu rahisi zamani watu lazima wakushtukie
.....
 
2013 - Margareth Thatcher anafariki Dunia.

Alikuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza. Ndio Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo.

Alijulikana kama " Iron Lady " kutokana na uongozi wake uliotukuka na wenye msimamo bila kuyumbishwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom