Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,294
Asante kwa magazines mkuu
Uwe na siku njema
Uwe na siku njema
Ngoja niamini uniambiayoo .....Alimwita rogie
Hapana sikudil nae nilitaka kujua je? Shunie kajichanganya au alikuwa seleous nikafanya investigation nikabaini hakuna kinachoendelea ....
Ni hayo tu mkuu
Kumekucha salama mkuuKumekuchaje humu makapuku?
Love you more TSakayo wangu..
Mungu akulinde ana akuepushe na majanga yote..
Ulale salama mama...
Love you..
Kwema mkuuKumekuchaje humu makapuku?
Ngoja niamini uniambiayoo .....
Kazi njema ukipata mda ufike home akuandalie ata juisii
Lengo umbane kila kona make wekend mcharuko sitaki![]()
aksante mkuuHabari za asubuhi sweetheart, mume wa ndoto zangu jamani!!!!Hello fam..
Nimekuja kusema muwe na usiku mwema..
Tumuombe Mungu atusaidie tusiache kuwaombea watu hawa waliopotea kwa hali ya utatanishi,na aziangalie kwa wema familia zao ,mke wa Roma,Bibi ya Roma aliyelazwa ICU kwa mshtuko,mama ya Roma na ndugu jamaa na marafiki wote,tumuombe Mungu wa huruma atuhurumie na atusaidie watu hawa wapatikane salama na wote wanaoumia wapate uponyaji wa haraka...Mungu wetu anasikia kuomba kwetu atafanya njia mahali pasipo na njia..AmenWakuu kumekuchaa salama japo mioyo ya watanzania wengi haina amani kwa mambo yanayoendelea nchini
Inasikitisha sana mtu apotee kama kuku anavyobebwa na mwewe ...inauma sana...
![]()
Soon magazeti kwa udhamini wa mama mchungaji
Nawapenda sanq Lee Empire na Shunie mbarikiweTunashukuru sana
Tunakupenda sana

Morning mkuuGoodmorning guys
Pamojaaa papaa le mushengalee ahsante kwa magazeti Wakwetu
So sad Mtanzania mwingine katekwa huko Congo