Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
unafanyika wapi mkeshaNiko poa mkuu heshima kwako kiongozii
Leo tuwakumbushe kapuku kuna mkesha
unafanyika wapi mkeshaNiko poa mkuu heshima kwako kiongozii
Leo tuwakumbushe kapuku kuna mkesha
Mm sio mnafiki wala muongo.ww hapana utaongeza hata vya uongo
Kwako pm.unafanyika wapi mkesha
huyo mtto wakoAcha utani ww
Ww mwenyewe hajawahi kukufungulia pm
Umeona eeehh!?huyu jamaa anatumika vibaya
anaanzaje kutofunguliwa pmAcha utani ww
Ww mwenyewe hajawahi kukufungulia pm
Ndio.huyo mtto wako
Alex mahone bado...Hapo safi maana vichwa navyo vikubali vimo.
Vp mahone hayumo.
hahahhMovie mpya ipo sokoni itafuteni![]()
Good morning all
.....
Nishabadili now...kwenye rayvanboy.Wacha hiyo mambo wewe!
Don't do it..
1919 - Ian Smith anazaliwa.
Alikuwa nibWaziri Mkuu wa kwanza wa Zimbabwe.
Umenichekesha mkuu
Mimi na shunie hatuko kama unavyofikiliaa ni live love bila chenga




Hakika uko sahihi mkuu, siku hizi wengi ni jeuri kwa kuwa kuna ARV![]()
![]()
ARV hazikuwepo hivyo kujificha ilikuwa sio kitu rahisi zamani watu lazima wakushtukie![]()
.....
shukrani Mussolin kwa histori na Bitoz kwa pichaLeo Katika Historia:
Niwatakie wikend njema wote.
Mkuu ni kweli hiyo ni filamu?
Au ni cover tu mtu katengeneza?.
Morning mjanja wa joto siti Bitoz
Hili movie ni la kibabe sana
ABoy from Kolomijehahahh
pm kwangu unapapenda eenh ktk kitu ambacho sipendi jf ni pmKwako pm.
mnafki mnafki sanaUmeona eeehh!?
hongera sana Mungu azidi kukukuziaNdio.