Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Shemuhahahhhh nimecheka kuona comment yako baby niniiii lkn Rogie
Shemuhahahhhh nimecheka kuona comment yako baby niniiii lkn Rogie
Nimeambiwa na doctor lee ati nikuchunge hakuna kichaa wa kukunyapia nyapiakipi hiko

Mrithi wa harmonizeIvi, hamorapa ndo nani?
Kwanini shemela mbona nipompk nimeshakusahau kama kuna mtu anaitwa shedede
Ahsante mkuuNimeona mkuu ,kumbe wataalamu tunao wengi tunapaswa kujivuna Mungu abariki kazi ya mikono yenu![]()
Unaogopa ya play gal?lee ananitosha hao waznz siwataki
mlinzi gani mbona sikuoniKwanini shemela mbona nipo
Nakulinda sana wewe jichunge
nayaogopa sanaUnaogopa ya play gal?
hakuna aisee ni yy tu peke yakeNimeambiwa na doctor lee ati nikuchunge hakuna kichaa wa kukunyapia nyapia![]()
![]()
![]()
nimeshaelezea shem nilikosea fatilia comments zangu nilizomquote Rogie nilisema bahati mbayaShemu
Hii ndio habari ya mjini kwa sasa
![]()
Hii ni thread maalumu kwa ajili ya vijana kukutana na kujadili mambo mbalimbali kuhusu maujanja ya maisha pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili maishani pamoja na za Jf
Tusipangiane cha kupost
.........................
Hahahaha nafurahia mnavyoelewana .hahahhhh mama mchuchu sijakuzoea hivyo ujue upo kama shunie
Naiona hata mimi nimeogopaaaasitaki nimekosea kuandika hapo juu nilitaka kuongea kuhusu lee kwenye msg yako nimeanza na baby nilitaka kufuta sijaona halaf nimestukia nimesend itaniletea kesi![]()
ndio nimeona sasa hivi acha nilale
Mungu aingiliekati,Roma na wenzake wapatikane wakiwa salama,na awape wanafamilia ya Roma na wote waliopotea faraja kuu itokayo kwake Mungu Baba ambaye ndiye mwanzo na mwisho AmenTunamtaka Roma ... Tukichelewa chelewa yanakuwa kama ya Bensaanane
