Makapuku Forum

Makapuku Forum

0e10910e3556d2101e9a4d118ca016e5.jpg
Movie mpya ipo sokoni itafuteni
Good morning all
.....
 
NUKUU YA LEO


The key to successful leadership today, is influence not authority.

Ufunguo wa mafanikio ya uongozi wa leo ni ushawishi, sio mamlaka


Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwandishi wa mmarekani , mbobezi wa masuala ya uongozi na mshauri wa masuala ya uongozi Bwana Kenneth Blanchard aliezaliwa tar. 5/6/1939.

Ken amekuwa akiandika makala na vitabu kuhusu uongozi, Moja ya kazi zake nzuri ni zile za ;
1. The one minute manager

2. The secret; what great leaders know-and do

3. Refire and fire

20382dc67879acd7e08cd0ce70c9361e.jpg


6bb2a4c5ce19bd78e6a55ebf6106987b.jpg


Ushawishi ndio unachukuliwa kuleta mafanikio kwa kiongozi yeyote ...! Jamii inahitaji mtu anatumia ushawishi kuongoza ! Hatutaki mamlaka.., yeyote anaweza kupewa mamlaka ua kujitwalia mamlaka..

Morning motivational;

Jifunze kuwa mshawishi ktk maisha yako..! Taka kuonekana wa tofauti ktk jamii, be potential ! Be influncial.

Transcend.
Cc Transcend

Great word mkuu

African Political leaders ni wachache sana wanao tumia ushawishi.
 
Love you more T

Jamaniiii jana nilikuwa shamba thy nlichoka mnoo hubby....

Naamini umeamka salama mume wangu!!!

Wana kapuku mmeamka Vipi, nawapenda wote Muwe na juma
Morning sweetie love..

Morning my world..

Hope umeamka salama mama..

Niko pouwa ! Mzima wa afya..!

Keeep smilling mamie..!

Always and forever yours.
 
1992 - Mchezaji bora wa zamani wa Tennis kutoka nchini Marekani, Arthur Ashe anajitangaza kuwa ni muathirika wa ugonjwa wa UKIMWI.

Anatajwa kama mmoja wa wacheza Tennis kuwahi kutokea.

Ashe anakuja kufariki mwaka mmoja baadae yaani mwaka 1993.

Baada ya kifo chake, Rais wa Marekani wa Kipindi hiko Bill Clinton anampa tuzo ya heshima ya kitoka kwa Rais. ( President Medal of Freedom ).
Ujasiri uliotukuka
 
Habari ya asubuhi Kapuku's
Good morning Kapuku's
Bom dia Kapuku's
Bonjour Kapuku's
Shalom Kapuku's


Ni siku nyingine tena tumepewa na Muumba wa mbingu na nchi si kwa kuwa tumekuwa wema kwake Bali ni kwa rehema zake ili tuweze kumsifu na kumtukuza yeye.

Ewe Mungu baba ukakae nasi sote familia ya kapuku utupatie nguvu na uwezo wa kupambana na vikwazo vilivyo mbele yetu, tunakuomba baba ukawanyooshee mkono wako wa baraka wagonjwa wote waliopo mahospitalini na majumbani, pia ukalibariki taifa letu na dunia yote kwa ujumla.
Tunaomba hayo kwa njia ya mwanao mpendwa Yesu kristo Amen.
Ameni..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom