Makapuku Forum

Afrika tuna safari ndefu sana, Mrema kachoka, Mrema kaisha lakini haachii madaraka.

Twende kwa marais, wapo akina Mugabe, wapo akina Biya, wapo akina Museveni hawajawahi kufikiria kuachia madaraka japo wengine hali zao ni tete umri umewatupa mkono.
Hakuna ubishi mtu akizeeka uwezo wa kufikiri unapungua...ndio maana nchi zilizoendelea vizee vinalipwa pesa ili vitulie kwa amani maana ufanisi wao kimwili na kiakili hupungua
Japo tunaamini kibongobongo uzee ni busara
...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…