2003 - Majeshi ya Marekani wanamkamata Kiongozi wa Iraq, Saddam Hussein na kuhitimisha Utawala wake nchini Iraq uliodumu kwa muda mrefu.
Saddam Hussein alikuwa ni mmoja ya viongozi wababe waliotikisa Dunia miaka ya 90.
Alinyongwa baada ya kupatikana na makosa ya uhalifu dhidi ya Binadamu.
H.B.D Jackie Chan1954 - Jackie Chan anazaliwa.
Staa wa filamu za mapigano kutoka Hong Kong.
Baadhi ya kazi zake ni Police Story, Mr Nice Guy, Who Am I? Nk
Kwani huwa hakusalimii Shem???Hujambo
Kuanzia leo uwe unanisalimia
MimiLe Mutuz.
Ila bro hulazimishwi kua mkweli labda kuna sababu za msingi au ndio lifestyle yako.
Goodmorning Madam dear.....Amen.....be blessed too
Happy Birthday Brigitte Van Der Burg..1961 - Brigitte Van Der Burg anazaliwa jijini Tanga, Nchini Tanzania.
Ni mbunge katika Bunge la Nchi ya Uholanzi.
Mie nataka Shkamo sasa shemKwani huwa hakusalimii Shem???
Duh kumbe wajinga tupo wengi?Hahahaaa!
Le mutuz mjinga yule..!
You will find one in 1million
Nawe umalizie jamaniHahahaaa!
Umeanza sasa!
Niko poa le akili kubwaPapa umeamkqje
Mie wa afyaGoodmorning Shemela
2009 - Rais wa zamani wa Peru Alberto Fujimori anahukumiwa kifungo cha miaka 25 jela kwa makosa yake ya uhalifu dhidi ya Binadamu.
Nimempata mussolini..!
Sio za nchi hiiNimependa fix zako
R.I.P Abeid Amani Karume..Mungu akuweke mahali pema peponi1972 - Rais wa Zanzibar Abeid Amani Karume anauwawa kwa kupigwa risasi 8 mwilini mwake alipokuwa anacheza bao makao makuu ya ASP huko Kisiwandui.
Risasi hizo nane alizopihwa ni sawa na miaka 8 ya utawala wake.
Inasemekana aliuwawa na Luteni Humoud ambaye ni kama alikuwa analipiza kisasi cha kuuwawa kwa baba yake.
Wapo wanaosema kuuwawa kwa Karume ni Jaribio lililoshindwa kupindua serikali yake hivyo wakaamua kumuua tu.
Pia wapo wanaosema kupishana kwake kauli na JK Nyerere kuligharimu uhai wake kwani aligoma kuhusu muundo wa Muungano ambapo alidiriki kusema Muungano ni kama koti likikubana unalivua, pia aligoma kabisa kuunganisha vyama vya ASP na TANU ili izaliwe CCM. Kauli hizo zinadaiwa kumchefua Nyerere.
Ni kijana mbichi kabisaaPoint of correction, miaka 47 sio mzee
R.I.P Agathe Uwilingiyimana .1994 - Agathe Uwilingiyimana anauwawa katika Mauaji ya kimbari.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa Rwanda.
Ni mwanamke wa kwqnza na wa pekee kushika wadhifa huo nchini humo.
Halafu yule anaonekana mtata sana!!!Naskia Sizonje wa Marekani katangaza kuwavamia.
Mmh..Hakupandisha mori km jina lake?
.....