BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Innocence pays,freedom is good..
Innocence pays,freedom is good..
Hahaha alimuonea sana huenda kimya ndio huzuni kuu kwakeUF cont....
![]()
Mungu anawaona lakiniRwanda hakuna mapenzi ya dhati na asikudanganye mtu Mrwanda hawezi kubeba mimba ya mtu asiyekuwa mrwanda lazima azae na mrwanda wewe utaishia kulea mimba na mtoto wakati mwenzio katia mimba...ogopa
Nimeshindwa kuelewa huyu Faru Fausta anatumia gharama kiasi gani?
Mucha graciousWakuu tuwe na siku njema..
Mkuu mr T tunakusubiria kwa lishe ya ubongo ...Ila sio mbaya tukaipitia na hii
![]()
Mmmmh
ThanksWakuu tuwe na siku njema..
Mkuu mr T tunakusubiria kwa lishe ya ubongo ...Ila sio mbaya tukaipitia na hii
![]()
Ahsante kwa magazeti mubashara na unbelievable fact katibu mkuuWakuu tuwe na siku njema..
Mkuu mr T tunakusubiria kwa lishe ya ubongo ...Ila sio mbaya tukaipitia na hii
![]()
Bullar Mzee wa sebene![]()
mtoto kma huyu anipende iweje? anipe tu mkia upendo akae nao

Mimi piaNakumisi dada mtumishi
Nakumisi dada mtumishi
Karibu inboxHabari za asubuhi wapendwa wangu makapuku!?
Leo nimeamka nikiwa na hamu ya kuwafaham hawa watu na ningeomba kueleweka japo ni ngumu kwa sababu ni suala la moyon inawezekana ulimi hauwez kulieza vizr nikapata kueleweka!!!
Transcend
Nyegei
Blessed hope
Rogie
Sakayo
Shedede
Shunie
ClKey
Nyinyi ni kina nani!?!?
Hapa inbox naomba iuhisike na na mshukulu MUNGU mondray nimeshamfaha na lakufurahisha zaidi ni Jilani yangu!!!
Ndugu leo sio kesho upatopo wazo lifanyie kazi usisubilie kesho!!
Nimeamua kuomba kuwafaham koz nmemeona mnastahili kuwa wanafamilia wangu Kupitia makapuku japo wengine watakuwa wa mbali ila sitajali!!
×mucha gracious =muchas graciasMucha gracious
Habari yako mkuuHabari za asubuhi wapendwa wangu makapuku!?
Leo nimeamka nikiwa na hamu ya kuwafaham hawa watu na ningeomba kueleweka japo ni ngumu kwa sababu ni suala la moyon inawezekana ulimi hauwez kulieza vizr nikapata kueleweka!!!
Transcend
Nyegei
Blessed hope
Rogie
Sakayo
Shedede
Shunie
ClKey
Nyinyi ni kina nani!?!?
Hapa inbox naomba iuhisike na na mshukulu MUNGU mondray nimeshamfaha na lakufurahisha zaidi ni Jilani yangu!!!
Ndugu leo sio kesho upatopo wazo lifanyie kazi usisubilie kesho!!
Nimeamua kuomba kuwafaham koz nmemeona mnastahili kuwa wanafamilia wangu Kupitia makapuku japo wengine watakuwa wa mbali ila sitajali!!
Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nilishindwa kuwaleteeni matokeo ya mechi za jana, mniwie radhi wana Kapuku's.
Leo tutapata matokeo kisha na ratiba ya mechi za leo tarehe 7/4/17
Msisahau leo ni Karume day.
Njema mkuu !Napenda kuutambua mchango wa Mussolin5 na Bitoz katika historia ya jana.
Habarini za asubuhi Makapuku?
Umenitishahahahhh sio shunie mm uje mpk nilipo ngumu sana achana na hiki kichwa hiyo ya no unaweza pewa tu
Hii tamu sana kweli!!Innocence pays,freedom is good..