Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Hakyamama kuna mtu kakusaidia kujibu
Shkamo
Ni mimi kabisa
Ukweli ni kwamba
Me na ke tunawindana
Mimi nafurahia sana uhusiano na ke
Hakyamama kuna mtu kakusaidia kujibu
Shkamo
Hapa Makapuku wanazingua balaa. Hovyo kabisa!Mkuu mbona wadada wazuri wamo tu na wanasubiri useme neno nyoyo zao zifurahi!
Unakosea, kaza kidogo wanataka kujiridhisha kama uko siriaz au unataniaHapa Makapuku wanazingua balaa. Hovyo kabisa!
Rwanda hakuna mapenzi ya dhati na asikudanganye mtu Mrwanda hawezi kubeba mimba ya mtu asiyekuwa mrwanda lazima azae na mrwanda wewe utaishia kulea mimba na mtoto wakati mwenzio katia mimba...ogopaRwanda kwa QUIGLEY ni hatari. Yaani kuna mabinti warembo utadhani hawakuzaliwa hapa duniani. Nimetambulishwa kwa medical doctor mmoja hapa dah! Kuna hatari ya kulowea mkuu. Bila Shunieningekuwa nshafunga virago. Fanya mishe uje kutembea. Nitaku-host!
Mapenzi ya nn kaka kma kina vutia ndo mapenzi hayo mimi cpend mwanamke anipende nataka anivutie tu inatosha sanaRwanda hakuna mapenzi ya dhati na asikudanganye mtu Mrwanda hawezi kubeba mimba ya mtu asiyekuwa mrwanda lazima azae na mrwanda wewe utaishia kulea mimba na mtoto wakati mwenzio katia mimba...ogopa
Give love backWhaaaaaaat a suprise jamaani..
Huyu mtoto wa kitanga anaiuwa sasa...
Nyagei nikisema Nampenda Sakayo bure anashangaa !
Mapenzi bhana ni kitu cha ajabu sana..! Kuna vitu vidogo vidogo unafanyiwa tuu alafu unampenda mpaka basi...
Sasa hivi nimepokea Zawadi ya kalamu! Just a pen..! Just one pen! Ila kwangu ni zawadi kubwa mno..
Imeandikwa Id yangu ya Jf..! Mimi sijui Sakayo kanunua wapi...
Kalamu imeandikwa Transcend..then Good memories....bla blaa..
![]()
Huyu mwanamke nampenda sana
Sakayo nakupenda mke wangu..
Asante kwa zawadi ! I love you..
Duuuh huo ni utumwaMapenzi ya nn kaka kma kina vutia ndo mapenzi hayo mimi cpend mwanamke anipende nataka anivutie tu inatosha sana
Ina bidi nimpende tuu.. i can't pay her back...Give love back
Nipo Kaka, ila umechelewa kuniona...Sakayo nakuona kipenzi cha kwetu
Kaka.....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ni mimi kabisa
Ukweli ni kwamba
Me na ke tunawindana
Mimi nafurahia sana uhusiano na ke
Tehteh teh mkuu huko nitafika mwezi wa 9 na nikifika sirudi bongoland ata kwa mtutu wa mbaoRwanda kwa QUIGLEY ni hatari. Yaani kuna mabinti warembo utadhani hawakuzaliwa hapa duniani. Nimetambulishwa kwa medical doctor mmoja hapa dah! Kuna hatari ya kulowea mkuu. Bila Shunieningekuwa nshafunga virago. Fanya mishe uje kutembea. Nitaku-host!
Usiku mwema T wa Sakayo!! Take care hubbyIna bidi nimpende tuu.. i can't pay her back...
Mi nawaonaga warwanda wapole na tabia nzur nakumbe ndo tabia zao wanazaa we unalea wanakugeuza beki tatuRwanda hakuna mapenzi ya dhati na asikudanganye mtu Mrwanda hawezi kubeba mimba ya mtu asiyekuwa mrwanda lazima azae na mrwanda wewe utaishia kulea mimba na mtoto wakati mwenzio katia mimba...ogopa

Njozi njema mke wangu..Usiku mwema T wa Sakayo!! Take care hubby
Love you more mboni yangu!!! Usisahau kusali honey..Njozi njema mke wangu..
I love you
We acha kabisa, wana ukabila usio na mfanoMi nawaonaga warwanda wapole na tabia nzur nakumbe ndo tabia zao wanazaa we unalea wanakugeuza beki tatu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Thanks my sisyNipo Kaka, ila umechelewa kuniona...
Nikutakie tu usiku mwema Kakangu