Makapuku Forum

Makapuku Forum

21f1cbdc9bc2a74269bd4056efef0f60.jpg


Psalms 150
Zaburi 150

Tumsifu Mungu pekee kwa maana yeye ndiye muamuzi wa yote katika maisha yetu,

Ametupa nguvu, uwezo na akili ya kupambanua mambo mbali mbali ili tuweze kumsifu yeye kupitia majaribu yanayotukumba kila siku.

Ewe Kapuku mwenzangu hebu jitafakari umefanya lipi la kumpendeza yeye mpaka sasa unapumua?

Be blessed kwa kunielewa.


USIKU MWEMA
Amen Nyagei. Yeye Ndiye na Bila Yeye sisi Ndisi! Ubarikiwe sana!!!
 
Shunie jamani upo? Hata nikipotea wala hunijulii hali. Kulikoni jamani? Wajua roho yaniuma mwenzio? Anyway. Sina safari yo yote kwa wiki tatu zijazo na nitakuwa hapa Makapuku laivu 24/7. Tuwemo sasa. Na tumada twa kufikirisha fikirisha nitakuwa naviweka. Napenda kufikiri sana na mojawapo ya turn off kwangu ni binti ambaye haelewi cho chote yaani yeye yupo yupo tu. Kwa vile Molla kampa papuchi basi ndiyo kaifanya kuwa alpha na omega. Binti wa hivyo kwa kweli hata kama angekuwa mzuri kumzidi Shunie kwangu mimi ni bure. Love you guys na wote mnaolala basi mlale salama!
2f83c17eb2d1dc1fbe7a04aa2320f320.jpg
 
Umegeuka mwanafalsafa? Ulishafanikiwa kuibua mpendwa hapa au bado unasota kama mimi? Mambo hapa ni magumu mpaka mi nimeamua kuhamia Rwanda.
Daaah mkuu hapa kila mtu ana mtu mkuu
Aganza nampenda but anaweka ulokole mbele zaiid mkuu nimetumia mpaka njia za iblis kumuaproch yule kimwana kakataa katuu

Uko rwanda i wish na mimi nifike huko maana hakuna adha kama ambayo tunaipata sisi wa tz .......!
 
Daaah mkuu hapa kila mtu ana mtu mkuu
Aganza nampenda but anaweka ulokole mbele zaiid mkuu nimetumia mpaka njia za iblis kumuaproch yule kimwana kakataa katuu

Uko rwanda i wish na mimi nifike huko maana hakuna adha kama ambayo tunaipata sisi wa tz .......!
Rwanda kwa QUIGLEY ni hatari. Yaani kuna mabinti warembo utadhani hawakuzaliwa hapa duniani. Nimetambulishwa kwa medical doctor mmoja hapa dah! Kuna hatari ya kulowea mkuu. Bila Shunie ningekuwa nshafunga virago. Fanya mishe uje kutembea. Nitaku-host!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom