Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nilishindwa kuwaleteeni matokeo ya mechi za jana, mniwie radhi wana Kapuku's.

Leo tutapata matokeo kisha na ratiba ya mechi za leo tarehe 7/4/17

Msisahau leo ni Karume day.
nilikuwa sijui!!!
 
Ratiba ya mechi za leo tarehe 7/4/17
Belgium Jupiler league
a49daf79b4af61e4facd0d744defc421.jpg

League 1
d9a7d52b9326e699eeea2bb9ea1b598a.jpg

Bundesliga
29d1c5395eb3b8632426e66efa976704.jpg

EREDIVISIE
251ab563c3f345140d01c9891eafcc54.jpg

LaLiga
51df6b860be54bde95fec325aea98a37.jpg

Uganda Premium league
a41c387b3f74cd848528b3bb08a0cbd6.jpg
 
Whaaaaaaat a suprise jamaani..

Huyu mtoto wa kitanga anaiuwa sasa...

Nyagei nikisema Nampenda Sakayo bure anashangaa !

Mapenzi bhana ni kitu cha ajabu sana..! Kuna vitu vidogo vidogo unafanyiwa tuu alafu unampenda mpaka basi...

Sasa hivi nimepokea Zawadi ya kalamu! Just a pen..! Just one pen! Ila kwangu ni zawadi kubwa mno..

Imeandikwa Id yangu ya Jf..! Mimi sijui Sakayo kanunua wapi...

Kalamu imeandikwa Transcend..then Good memories....bla blaa..

c821675104e40e43f6e39fdcaa74283c.jpg

Huyu mwanamke nampenda sana

Sakayo nakupenda mke wangu..

Asante kwa zawadi ! I love you..
Sikushangai mkuu
Ila nataka nieleweshwe tu
 
BTW parabens frere kwa package gift
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom