Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Basi shem...nishaitoa mm sitaki mchezo
I wish ningekuwa nayo kweli..


Rudishe lee asije akafa kwa presha
Basi shem...nishaitoa mm sitaki mchezo


hahahhhh nimecheka sana me mzima hofu kwako binamu kitu cha weed vipi na hali ya hewa hii
BB King, mfalme wa Blues wa muda wote. King, ni maarufu si kwa sababu ya uwezo wake wa kupiga gitaa na kutunga mashairi yanayovutia bali pia kwa namna alivyokuwa na maono makubwa katika maisha ya mahusiano yenye kujenga jamii iliyo bora.
King, aliyefariki usingizini mwaka May 14, 2015 huko USA alikuwa ni mwanaharakati maarufu wa elimu kwa jamii yake, msemo wake kuhusu elimu ulikuwa ni "education is something no one can take away from you, and there is a vast population of under-served children in our area who need the message of hope" Tafasiri rahisi ni kuwa hakuna anayeweza kukunyang'anya maarifa/elimu na kuna jamii kubwa ikiwemo watoto wanaohitaji ujumbe wa kuwapa matumaini"
Binafsi, ukiondoa nyimbo zake nyingi nazovutiwa nazo kama The Thrill is Gone na You Upset me baby, ninavutiwa na wimbo wake "Don't answer the Door"
Najua unaweza usipende Blues lakini kujifunza usichopenda ndo maarifa yenyewe hayo
hahahhh sitaki mpk leo ipiteBasi shem...
I wish ningekuwa nayo kweli..
Rudishe lee asije akafa kwa presha
hivi binamu yako hatumiagi hii kitu kweli akija gheto kwakoLol, weed jani la mfalme Suleiman, jani tiba magonjwa 203 kama Ngetwa+
hivi binamu yako hatumiagi hii kitu kweli akija gheto kwako
nikimuuliza kuhusu kutumia anakua mkali mpk mnaweza gombana ila nilikua nahisi tu utakua umemfundisha...ha hahhahaha, kwani huwa hakwambii, huwa anatumia sema anawashaga udi kukata harufu
lee empire hili la udi ni ushauri wako
SalamaHabari za jioni
Asante nawe pia ubarikiweKaribu, uwe na usiku mwema
Hahahaaa!hahahhh sitaki mpk leo ipite
Sijambo namshukuru sana Mungu siku imekuwa njema na baraka tele..naimalizia hapa wewe je?Hujambo BH, siku yako umeiona leo?
hahahhh sio shunie mm uje mpk nilipo ngumu sana achana na hiki kichwa hiyo ya no unaweza pewa tuHahahaaa!
Lee akikuvuruga tena mimi sipo!
Siku nikitaka kuongea na wewe wala sikupigii simu..
Nakuja hadi ulipo tuu! Afu nakuita shunie..
Daaah shemu nna ubize flan hiv mchana kutwa ila usiku niko okShedede umepotea
NAwatakia mapenzi mema sanaWhaaaaaaat a suprise jamaani..
Huyu mtoto wa kitanga anaiuwa sasa...
Nyagei nikisema Nampenda Sakayo bure anashangaa !
Mapenzi bhana ni kitu cha ajabu sana..! Kuna vitu vidogo vidogo unafanyiwa tuu alafu unampenda mpaka basi...
Sasa hivi nimepokea Zawadi ya kalamu! Just a pen..! Just one pen! Ila kwangu ni zawadi kubwa mno..
Imeandikwa Id yangu ya Jf..! Mimi sijui Sakayo kanunua wapi...
Kalamu imeandikwa Transcend..then Good memories....bla blaa..
![]()
Huyu mwanamke nampenda sana
Sakayo nakupenda mke wangu..
Asante kwa zawadi ! I love you..
Pole sana shemela ndio ukubwa huo mkesha upo kama kawaidaDaaah shemu nna ubize flan hiv mchana kutwa ila usiku niko ok
Vip leo mkesha upo shemela?
Asante mkuu..!NAwatakia mapenzi mema sana
Shunie unataka ujue nina uwezo na ninacho sema..hahahhh sio shunie mm uje mpk nilipo ngumu sana achana na hiki kichwa hiyo ya no unaweza pewa tu
Pole sana shemela ndio ukubwa huo mkesha upo kama kawaida
