Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Shemeji marhabaaaShkamo shemeji
Mie Sijambo jamani, vipi wewe waionaje hali
Namshukuru aliye juu
Shemeji marhabaaaShkamo shemeji
Mie Sijambo jamani, vipi wewe waionaje hali
Uko njema soudyNjema mkuu !
Ahsante mkuuNjema mkuu Nyagei uwe na siku njema,Mungu akubariki
AminaShemeji marhabaaa![]()
![]()
![]()
Namshukuru aliye juu
ObeRatiba ya mechi za leo tarehe 7/4/17
Belgium Jupiler league
![]()
League 1
![]()
Bundesliga
![]()
EREDIVISIE
![]()
LaLiga
![]()
Uganda Premium league
![]()
Namshukuru mungu kwa hii siku nyingineUko njema soudy
Mzee mkavu nilitingwa wala sio club ...kijijini network shidaMkùu jana vip mboma ukuoneka au alikuwa club unakula vyombo![]()
![]()
![]()
Au ndio kushindania ufahari kusiko na tijaMagazetiii yetu pasua vichwaa
Mkuu matumaini yangu Unaendeleaa vizuriiAmina
Mzee mkavu nilitingwa wala sio club ...kijijini network shida
Ila rasmi nakukabidhi jukumu la kuangalia shemeji yako kama sipo ...wapige watu vipapaii ikibidiiii mkuu
namchunga vilivyo mkuuVizuri sanaNamshukuru mungu kwa hii siku nyingine
Mzee mkavu nilitingwa wala sio club ...kijijini network shida
Ila rasmi nakukabidhi jukumu la kuangalia shemeji yako kama sipo ...wapige watu vipapaii ikibidiiii mkuu

Nakuaminiii ila ukinizungukaa unajua kitakachokupataa ...ata mmu wewe nae ...ata kule kwa wakubwa![]()
![]()
![]()
namchunga vilivyo mkuu
AmenNaamini nyote mmeamka salama.....
Muwe na siku njema yenye mafanikio tele......
T leo umelala sana,,,,,, amka upate japo kikombe
You know how much I love you!!!
Karibu...mimi ni mama mchungaji..in Lee'svoice ,mama mchuchu in Shunie's Voice,MAMA in Nyagei's voice,Mtumishi in Queil's voice..tunakupenda Mkhubi pole kwa maumivu naamini Mungu anaendelea kukuponya mwili na roho karibu Makapuku sisi wanafamilia wenzako tunakuombea Isaya 43:2 upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe ,na katika mito ,haitakugharikisha,uendapo katika moto hautateketea,wala mwali wa moto hautakuunguza 3 Maana mimi ni BWANA MUNGU wako Mtakatifu wa Israeli,mwokozi wako , nimetoa Misri kuwa ukombozi wako,nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako,4 Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu na mwenye kuheshimiwa,nami nimekupenda kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako ,na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako. In short GOD WILL CARRY YOU THROUGH THE STORM..UBARIKIWEHabari za asubuhi wapendwa wangu makapuku!?
Leo nimeamka nikiwa na hamu ya kuwafaham hawa watu na ningeomba kueleweka japo ni ngumu kwa sababu ni suala la moyon inawezekana ulimi hauwez kulieza vizr nikapata kueleweka!!!
Transcend
Nyegei
Blessed hope
Rogie
Sakayo
Shedede
Shunie
ClKey
Nyinyi ni kina nani!?!?
Hapa inbox naomba iuhisike na na mshukulu MUNGU mondray nimeshamfaha na lakufurahisha zaidi ni Jilani yangu!!!
Ndugu leo sio kesho upatopo wazo lifanyie kazi usisubilie kesho!!
Nimeamua kuomba kuwafaham koz nmemeona mnastahili kuwa wanafamilia wangu Kupitia makapuku japo wengine watakuwa wa mbali ila sitajali!!
Mmu namchunga sana aiiseNakuaminiii ila ukinizungukaa unajua kitakachokupataa ...ata mmu wewe nae ...ata kule kwa wakubwa
Amina mamyKaribu...mimi ni mama mchungaji..in Lee'svoice ,mama mchuchu in Shunie's Voice,MAMA in Nyagei's voice,Mtumishi in Queil's voice..tunakupenda Mkhubi pole kwa maumivu naamini Mungu anaendelea kukuponya mwili na roho karibu Makapuku sisi wanafamilia wenzako tunakuombea Isaya 43:2 upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe ,na katika mito ,haitakugharikisha,uendapo katika moto hautateketea,wala mwali wa moto hautakuunguza 3 Maana mimi ni BWANA MUNGU wako Mtakatifu wa Israeli,mwokozi wako , nimetoa Misri kuwa ukombozi wako,nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako,4 Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu na mwenye kuheshimiwa,nami nimekupenda kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako ,na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako. In short GOD WILL CARRY YOU THROUGH THE STORM..UBARIKIWE
Ndo maana nkakukabidhiii kijijiMmu namchunga sana aiise
Nikiona kichaa anamfatafat nampiga stop
Yani kama shunie ni mtu wangu
Wakzingua nawatishia kuwapiga busha la sikio wanaogopa na shunie anabaki salama salmini