Makapuku Forum

Makapuku Forum

thanks hunnie love u
06c6967dc6ca3563d18168a0ff01d536.jpg
 
Ukiisoma bible kwa akili za kawaida utagundua imejaa makosa/mapungufu/uongo 70%+

Ila ukiisoma kiimani utasema ipo sawa 100%+ .....Hivyo inategemeana na namna ulivyochagua either kutumia akili zako au kuitumia Imani yako
..........
Well answered
 
Samahani waungwana,
nina swali dogo nitaomba ufafanuzi wenu.
Ukiiangalia picha inayomuonyesha Rais mstaafu akiwa Bungeni jana,
1) Gazeti la Mwananchi na Tanzania daima inaonekana aliyefaa suti ya bluu yupo upande wa kulia wa Jakaya Kikwete,

2) Gazeti la Mtanzania na Uhuru inamuonyesha mtu huyo huyo yupo upande wa kushoto,

Swali, je imekuwaje hivyo? Wakati wote wamekaa sehemu moja? Au hao wasaidizi wake walibadilishana mkao?
Wataalamu picha na Kamera nisaidieni, na wengine pia kama una chochote usisite kuchangia.
Natamani kujua nami,ngoja wataalamu waje hapa
 
Habari ya asubuhi ndugu Kapuku

Ni siku nyingine tena Muumba ametupatia ili tupate muda wa kujiuliza ni nini tunacho mpaka sasa tunatumia pumzi yake pasi na malipo.

Natoa shukrani zangu kwa Katibu lee empire kwa magazeti na unbelievable facts

Pia kwa le dictator aliyetoka kunusurika karibuni kupinduliwa Mr Mussolin5 kwa historia murua.

Heko kwa Transcend kwa new segment ya nukuu ya siku naona hakuna haja ya kupitia mwananchi ili tupate nukuu mbali mbali.

Mwisho napenda kuvaa viatu vipya, nimepewa na katibu wangu hapa, kutakuwa na new segment ya ratiba na matokeo ya mechi za mpira wa miguu katika nyanja ya kitaifa na kimataifa bila kusahau ligi kubwa barani ulaya.

Karibuni.
Asante mkuu mbarikiwe kazi zenu ni njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom