Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,414
- 109,963
Good tutaongeza ubora zaidi kuna kitu naplan tukilete humu tukifanye mm naww hope itakua bomba.Itakuwa poaa na mm nikipitapita nachombeza mapicha
Juzi kati ulianzisha tabia ya kuongea kwa picha naona siku hizi umetulia ilikua inapendeza ujue.