Makapuku Forum

Makapuku Forum

NUKUU YA LEO

Kama jana ulianguka, leo simama

If you fell down yesterday, stand up today


Haya maneno yalipatwa kusemwa na Bwana Herbert George Wells, mwalimu, mwanahistoria , na mwaandishi wa Vitabu aliyeishi mwaka kati ya Sept 21 1866 hadi August 13 1946.

Hii Nukuu ilitolewa ikiwa na lengo la kuwapa watu moyo wa kutokata tamaa, kuwapa vujana moyo wa kujaribu tena kile kilichoonekana kushikana jana, kuwapa watu nafasi yaliyopita na kujaribu tena jambo..

H.G.Wells atakumbukwa pia kwa kazi zake nyingine kama The time machine, The invisible na The fisrt man on the moon..

fae00d77412532c035e83b9bc4939d2f.jpg


f28eefcef953d2a66dd9bbf6f2010534.jpg


Allways start from the ashes of yesterday's failure..

Goodmorning fam...
hutakiwi kukata tamaa
 
Kuanzia leo ni lazima kila jioni kuwepo na Je Wajua. Sitajali kuna nini hata kama wote hawapo lazima niweke. It's my Responsibility to do that from today..

Ninapokosea usikose kunisahihisha na kunielekeza hope tutakua pamoja.
One love my brother and sister
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom