Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
1973 - Pharell Williams anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
Jamaa inaonekana kuwa na kaumbo kadogo km denti wa Sekondari
....
1973 - Pharell Williams anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
Kwema kabisa mkuu, kumekucha Salama huko na familia yetu?Denoo49 uko poa mkuu!
Mungu ni mwema tuko salamaKwema kabisa mkuu, kumekucha Salama huko na familia yetu?
1976 - Simone Inzaghi anazaliwa.
Straika wa zamani wa Lazio na timu ya taifa ya Italia.
Ni kaka wa Phillip Inzaghi, mshambuliaji wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Italia.
na topic yako ya kutaka kukaribishwa jana ilikua ulikua unapita tuJukwaa la wakubwa napitaga tu ndio maana hakuna comments yangu...mmu hua naenda kuchekesha watu tu.
[emoji23][emoji23]Wee jamaa kumbe longolongo.
hahahhh nilifurahi jana ulivyomkalibisha huku hatutaki manenoKule kunahitaji watu matured, kama ni under age usiende Huko.
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo ndio mondrayHuyu jamaa muongo kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], huo ushauri si bora ubigwe ban kabisa ijulikane.na topic yako ya kutaka kukaribishwa jana ilikua ulikua unapita tu
ngoja nikwambie mondray labda hauelewi unavyosema majukwaa yangu ni chit chat na intelligence unatakiwa ata majukwaa mengine hata usionekane si kulike au comments hapo utakua umenielewa
hahahhh chizi wwThere is a vacancy[emoji1]
Ameen Nyagei [emoji120]Neno la kutafakari kabla ya kulala
Linatoka kwa Luka 4.18
Luke 4.18
![]()
![]()
USIKU MWEMA MAKAPUKU WOTE
Upendo wa Mungu baba ukakae nasi sote Amen.
nimeshaamka binamu mbona ulinikimbiaAmka sasa binamu, kumekucha hump day
1976 - Fernando Morientes anazaliwa.
Straika wa zamani wa Real Madrid, Monaco, Liverpool na timu ya taifa ya Spain.
Ametwaa klabu bingwa ulaya mara tatu akiwa na Real Madrid.
santee baby kwa magazetiUdaku ...![]()
kwa sbbu ya skirt fupi [emoji23][emoji23]Sijui kwanini kurasa za michezo hazinivutii wiki hii
FYI, mimi ni shabiki wa Simba na Chelsea, ila siku hizi napenda zaidi Netball
morning hunnie hope umeamka salama, miss u too cheusi wangu [emoji8] hivi jana ulikamatika wapi lknBaby good morning swt ...nimekumis sana cheupe wangu
kwan jana haujaenda clubJamaaaaniii
[emoji23][emoji23] mama mchungaji jamaanVipi kakusingizia baby wako ?msamehe mkuu
MmhJaman nitapata mke humu?