VPL leo hakuna shem ndio maana haipona vpl utuwekee nyagei
Umeongea kiume japo kuna kiunyonge ndani yake,Kuanzia leo ni lazima kila jioni kuwepo na Je Wajua. Sitajali kuna nini hata kama wote hawapo lazima niweke. It's my Responsibility to do that from today..
Ninapokosea usikose kunisahihisha na kunielekeza hope tutakua pamoja.
One love my brother and sister
Ndio ongea yangu.Umeongea kiume japo kuna kiunyonge ndani yake,
Tuko pamoja mkuu kisheti
Bitoz asante kwa picha muwe na asbh njema wapenzi

Namaanisha zawadi kwa ajili yangu.
Jibu mubasharaUkiisoma bible kwa akili za kawaida utagundua imejaa makosa/mapungufu/uongo 70%+
Ila ukiisoma kiimani utasema ipo sawa 100%+ .....Hivyo inategemeana na namna ulivyochagua either kutumia akili zako au kuitumia Imani yako
..........
Asa baby unadhani hizo nimejinunulia mimi?Namaanisha zawadi kwa ajili yangu.

Nimekaribia
Ahsante mama mchungajiAsante mkuu mbarikiwe kazi zenu ni njema![]()
Asa baby unadhani hizo nimejinunulia mimi?
Si nataka nikuvutie wewe!!!![]()
![]()
![]()
na zawadi zangu je
Nisamehe kwa kuharibu id yako mkuu.Mkuu ni Nyagei
Sio Nyegei
BTW heshima yako QUIGLEY
Nakumisije!Asante dear!!! Maisha yalinikamata kidogo
Wanadamu ndio bado hawana utayari wa kumrudia MunguPole mkuu sasa hv hali tete kila mahali,Mungu atusaidie tu