Makapuku Forum

Makapuku Forum

Natamani kujua nami,ngoja wataalamu waje hapa

Inawezekana kabisa, watalaamu wa picha wanaweza kugeuza. Chakochangu
Ukiangalia hii picha hapa chini yenye rangi original yake ni hiyo mchezaji kavaa jezi nyekundu.
Kagera1.png

DV2A5103.JPG
 
The distance between Egypt and Israel is about 613km.But it took Moses and the Israelites 40 years to complete their journey. On average each day they walked only 43 metres.

Yes only 43 metres,almost half of what Usain Bolt do in 5 seconds.

I just wish if Moses was around to explain this laziness.
Nakumbuka akati nasoma divinity kuna sehemu tulisoma kua wanaisraeli hawakutumia njia ya moja kwa moja kwa sababu kulikua na maadui huko kwahiyo iliwabidi wazunguke sana kukwepa maadui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom