Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
1973 - Pharell Williams anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
Sijui kwanini kurasa za michezo hazinivutii wiki hii
FYI, mimi ni shabiki wa Simba na Chelsea, ila siku hizi napenda zaidi Netball
Soudy mzee mkavu tunakosa mambo yakoJamani nawapenda sana milove mingi mingi jamani baadae
-Werrason
-transcend
-mondray
-shunie
-lee empire
-bitoz
-nyagei
Na makapuku wote list ni kubwa hatar
Baadae
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Oooh! Hii imekaa vizuri ...!Leo Katika Historia:
1952 - Fidel Castro anatangaza vita ya kumng'oa Rais na Dikteta wa Cuba Fulgencio Batista.
Wanakuja kumg'oa miaka saba baadae.
Fact JM kapoteza morali ya timu hivi sasa nashindwa kabisa kumuelewa approach yake ya game za OTMatokeo ya EPL jana
![]()
Hawa Leicester city wanachokifanya ndicho kinachomshangaza profesa Claudio R...kweli wameamua na timu zishaanza kuogopa kukutana na fox hawa
Alichokuwa hakiamini Rojo ndicho kilichomshangaza Jagielka....... Aina na ya imani ya Rojo ni beki kwa beki kati yake na Jagielka ila namna Jagielka alivyoituni akili yake ishirikiane na mwili ndivyo walivyoendelea kukaribia katika record nyingine ya Ronald Koleman ndani ya OT.
Namna united wanavyocheza ndivyo united wanavyofeli..... Timu inakosa flow nzuri kuanzia katikati ya uwanja mpaka anapocheza Zlatan..... Mourinho vipi tuendelee kuandika au Bado unasoma...? Maana kilichomisi kwenye hii timu yako ni chemistry ili wale wachezaji waungane.....
Romelo Lukaku bhn kama anafinya yeye anapiga.... Hizi timu kubwa kazishindwa kabisa.
Usisahau huu Msimu ni wa lawama....
Manchester united 1-1Everton
Wapendwa makapuku naamini mmeamka salama ,namshukuru Mungu nimeamshwa salama nawatakia siku njema yenye baraka tele wagonjwa poleni,na wenye changamoto mbalimbali msikate tamaa Mungu ataingilia kati,wafiwa Mungu awafariji,watu wote Mungu awatangulie katika kila jambo kazi zenu zikapate baraka na mafanikio mtangulizeni Mungu katika kila jambo..mbarikiwe sana sana.Amen

What a day?NUKUU YA LEO
Kama jana ulianguka, leo simama
If you fell down yesterday, stand up today
Haya maneno yalipatwa kusemwa na Bwana Herbert George Wells, mwalimu, mwanahistoria , na mwaandishi wa Vitabu aliyeishi mwaka kati ya Sept 21 1866 hadi August 13 1946.
Hii Nukuu ilitolewa ikiwa na lengo la kuwapa watu moyo wa kutokata tamaa, kuwapa vujana moyo wa kujaribu tena kile kilichoonekana kushikana jana, kuwapa watu nafasi yaliyopita na kujaribu tena jambo..
H.G.Wells atakumbukwa pia kwa kazi zake nyingine kama The time machine, The invisible na The fisrt man on the moon..
![]()
![]()
Allways start from the ashes of yesterday's failure..
Goodmorning fam...
Imekwisha kuingia akilini mkuuUnbelievable facts;
Japo naona haijawaingia kichwani ila ntajitahidi muizoee hii segment
22 Unbelievable Facts will make you say “Holy Sh*t” Yet They Are All True!
There's something behind
Umeona mkuu ??Fact JM kapoteza morali ya timu hivi sasa nashindwa kabisa kumuelewa approach yake ya game za OT
Asante mkuuLeo Katika Historia:
Niwatakie Jumatano njema.
Mkuu niombe kwa niabaTupate kidogo matokeo ya mechi zilizochezwa tarehe 4/4/2017
EPL
![]()
Bundesliga
![]()
Copa Italian
![]()
LaLiga
![]()
Akili na uwezo wake alivitumia vyema