Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,322
- 35,826
[emoji122] [emoji122] binamu naomba tukeshe wote
Amka sasa binamu, kumekucha hump day
[emoji122] [emoji122] binamu naomba tukeshe wote
Mkuu umeamkaje..Amka sasa binamu, kumekucha hump day
Haya bwana asubuhi njema mkuu asisahau kwenda na ndoo ya maji maana maji shida siku hizi.Hahahahha kipaza sauti kimekufa, napita kila nyumba kama wakati wa daku na mtaamka wote
Baby good morning swt ...nimekumis sana cheupe wangubaby wangu uko ap jamaan nimekumiss tu sijui ndio akili za jana usiku [emoji134] ila Mungu anakuona ujue
kwa nn unapendaga kunivuruga lkn
Jamaaaaniiihahahhh leo tunakesha lee kaenda club
Wee mwongoNabuni nitakuwa natoa fiction story za hapa na pale[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Asantee mkuuMimi naomba kwanzia leo nichukue jukumu la "NUKUU YA LEO "
Itakuwa Segment ya kila siku ( siku za jumatatu mpaka jumamosi) asubuhi, kama nisipoweka asubuhi nitaweka jioni.
Naomba niitende haki hii..nitakuwa naweka kwa nukuu kwa lugha ya kiingereza na kiswahili..then nitadadavua kidogoo juu ya Nukuu..
Siku ambayo nitatingwa mtaniwia radhi wakuu..
All the best wakuu..
Wellcome sir[emoji7] [emoji7] [emoji7]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vipi kakusingizia baby wako ?msamehe mkuuJamaaaaniii
Mimi huwa siyaelewi haya magazeti,anyway naendelea kujifunza!ni udaku kwelikweli!Udaku ...![]()
KaribuWakuuu kwa mara ya kwanza naanza kupost mapema humu hope mko wazima nyote. Obe vp leo hujaenda kutoa adhana msikitini?